Mambo ya vyama yasikuondolee furaha mkuu, wala never expect great things kutoka kwao mkuu, mwanadamu ni dhaifu, fanya kazi kwa bidii mtegemee Mungu utafanikiwa.Naichukia CCM na wapuuzi wote wa CCM kuliko hata kifo!
Unatumika vibaya jitafakari.Wasalaam wanabodi,
Nimeona twit ya UBALOZI WA MAREKANI wakilaani au KUSIKITISHWA na kuvamiwa na kuumizwa kwa mbunge na kiongozi wa upinzani bungeni Mh Freeman Aikael Mbowe.
Kitu ambacho kimenishangaza ni kuwa UBALOZI huo umesema moja kwa moja kuwa mh Mbowe kashambuliwa ilhali taarifa za uchunguzi bado hazija toka na swala lenyewe bado lipo katika uchunguzi.
Je, wao wamepata wapi uhakika kuwa mh Mbowe kavamiwa? Je ni sawa kwao kutoa taarifa kabla vyombo vinavyohusika kutoa taarifa?
Kwa kuwa kumekuwa na conspiracy nyingi tu juu ya tukio hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
I can't breathe....Nimeona ya UK na EU pia wametoa. Why ya Marekani pekee ikushangaze?
Ulimnunulia wewe?Pombe Mkuu
Anapotibiwa dereva na lissu panajulikana polisi walishindwa kwenda kuwahoji? Enh hiyo compound ina walinzi na watu wengine kibao wanaoishi pale je walihojiwa? Je endapo lissu na dereva wake wangefia kwny tukio kwa hiyo polisi isengejihangaisha na uchunguzi?
Nafanya kazi kwa juhudi na wakati huohuo natumia juhudi nyingi zaidi kuichukia CCM na mashetani wote wanaoisupport CCM!Mambo ya vyama yasikuondolee furaha mkuu, wala never expect great things kutoka kwao mkuu, mwanadamu ni dhaifu, fanya kazi kwa bidii mtegemee Mungu utafanikiwa.
Just a piece of advice
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalaam wanabodi,
Nimeona twit ya UBALOZI WA MAREKANI wakilaani au KUSIKITISHWA na kuvamiwa na kuumizwa kwa mbunge na kiongozi wa upinzani bungeni Mh Freeman Aikael Mbowe.
Kitu ambacho kimenishangaza ni kuwa UBALOZI huo umesema moja kwa moja kuwa mh Mbowe kashambuliwa ilhali taarifa za uchunguzi bado hazija toka na swala lenyewe bado lipo katika uchunguzi.
Je, wao wamepata wapi uhakika kuwa mh Mbowe kavamiwa? Je ni sawa kwao kutoa taarifa kabla vyombo vinavyohusika kutoa taarifa?
Kwa kuwa kumekuwa na conspiracy nyingi tu juu ya tukio hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matukio ya namna hiyo yapo maeneo mengi duniani. Hata hapa kwetu yanatokea. Pamoja na kwamba yanajitokeza kwenye jamii zetu lakini kukataza sio sababu ya kunijaji. Wote tupambane kupinga vitendo viovu haijalishi imetokea wapi.
Kumbe! Unafaa kumusaidia Afande Murotu mambo yaishe haraka kwa kuwa ulikuwepo kwenye tukio. Safi sana.Mtu kagonga zake Bia za kutosha...
Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...
Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???
Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
Tusitegemee lolote. Hii imetoka! Taifa linaelekea kubaya.Ndugu unawaamini hawa hata upoteze energy yako kuuliza swali hili?
Leo bungeni ndiyo kabisa Spika Job Ndugai kadhihirisha kuwa ni miongoni mwa walioratibu show nzima....
Ametoa "conclusion" kwamba jamaa kuumia kwake ni kwa "kuanguka kwa sababu ya ulevi" na wakati huohuo eti anawaasa wabunge wenzake wasubiri uchunguzi wa Polisi....
Ni wazi kuwa taarifa ya upelelezi ndiyo hiyo imeshatoka. Polisi wataogelea humuhumu. Na wakija na taarifa tofauti, tutakutana hapa hapa kupeana mrejesho....
Aiseee kumbe hata hao waliomvunja mguu walimkosea sana,ilitakiwa wamfi*e kabisa...kwa mkeo
I just expressed my thoughts, halafu ndio mnaosemaga freedom of speech [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka freedom of speech kibali na small minded kama sisi tujieleze and don't get angry...You're very shallow minded!
Hivi tukio lolote la kupigwa, kushambuliwa, kutekwa au kuuawa watu wanatakiwa wakae kimya mpaka Polisi wamalize Uchunguzi?
Lissu alishambuliwa tarehe 7/9/2017 na Polisi bado wanafanya Uchunguzi more than 2 years....watu wakae kimya tu wakimsubiri Kiroboto Muroto?? Pambaf zako!
Tena yaliyosheheni virutubisho vya FARU JOHN! 😎😛😀Wakale mavi uko
Aiseee kumbe hata hao waliomvunja mguu walimkosea sana,ilitakiwa wamfi*e kabisa...
Aisee tutateseka sana. WB na IMF wakikukazia utapata tabu sana tena hasa ukiwa nchi maskini kama TanzaniaKateni misaada na mikopo na mtumie ushawishi wenu Benki ya Dunia na IMF wakate mikopo mpaka watapokubali kuruhusu ucchunguzi huru wa matukio haya.
Siku hawa jamaa wakikinukisha sijui itakuwaje ?June 9, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Statement of Concern about Attack Against Freeman Mbowe
The Embassy of the United States of America is shocked and appalled by the brutal and unprovoked June 9 attack on Member of Parliament and Chadema party Chairman Freeman Mbowe. The Embassy calls for an immediate, thorough, and impartial investigation, and for the rapid apprehension and prosecution of this assault’s perpetrators.
I just expressed my thoughts, halafu ndio mnaosemaga freedom of speech [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka freedom of speech kibali na small minded kama sisi tujieleze and don't get angry...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutwa kucha kuomba msaada na Jana mlikuwa mnajadiliwa barua yenu ya kuomba msamaha mpewe Mkopo kwa kuficha taarifa za mikopo mingine halafu unasemaje we kijani kibichi?Usa hana haki ya kunyoshea Tanzania mkono nchiambayo maaskari wanaua Wananchi wake barabarani ndio inanyoshea Tanzania mkono
Wapeleke upumbafu kwao
Mbowe aache maisha ya kihuni yeye ni kiongozi