Tahadhari kwa MODS; Msiue Uhuru wa mawazo kwa kuondoa hii kuficha ukweli.
Baada ya bunge la JMT Leo hii kuleta mijadala ya wazi kumshambulia Mbowe kuwa ni mlevi na kwamba hakushambuliwa na yeyote bali alianguka kwa ulevi ubalozi wa US umetoa tamko.
Hii ni kuonyesha kuwa imedharau mijadala ya wabunge wetu kuwa ni ujinga tuu uliokuwa unajadiliwa lakini ukweli ni kuwa ameshambuliwa.
Mapema Jumuia ya ulaya nayo ilitoa tamko kulaani pia tukio hilo.
Jambo hili ni aibu kwa Bunge letu pia kwa taifa. Inasikitisha tukio la kishenzi linatokea mataifa ya nje yaliyo jaa ustaarabu yanalaani sisi wanaojiita "WAHESHIMIWA" wanakejeli na kufurahia!
Ukweli Ndugai ni Mtanzania wa kwanza kulidhalilisha bunge kwa kiwango cha juu hadi kufanana na kusanyiko lisilo heshima.
View attachment 1473738