Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Kwanini Ndugai kaamua kutuaibisha sana sisi wananchi kwa kuvunja heshima ya Bunge namna hii?
Naamini wabunge wenye akili timamu kutoka CCM mfano Majaliwa, Chenge, Makamba, Chizeba, Zungu, nk hawafurahishwi na ujinga huu
 
Kuna makabila mengine hayapo duniani kwa lengo la kutawala, kuongoza na kushika nyadhifa za juu kiutendaji Mfano ni kabila na kiongozi wa mhimili wa bunge na mhimili mkuu, na ndio mana hata katika uumbajj mungu Alliumba wanyama kama pundamilia, swala na nyumbu wakawa wengi kuliko Chui na Simba lakini akawapa nguvu na ufalme hao wachache ili wawatawale wengi vivyo hivyo hawa watani zangu wasuKUMA na wagogo is more like ya kundi la wanyama walioumbwa wengi sana huko mbugani yalifanyika makosa somewhere kukabidhi ufamle kwa Pundamilia na nyumbu
 
Wamarekani safisheni nyumba yenu kwanza,ni chafu mno.Suala la kifo Cha George Floyd hamjalimaliza mmeanza kudandia mambo mengine.Badala ya kutatua matatizo ya nchi yenu kwanza mnaanza kuangazia mambo ya mlevi,mshaurini apunguze kulewa.
 
Cha kufanya - kila mtu ashinde mechi zake. Tutakutana fainali.
 
Usa hana haki ya kunyoshea Tanzania mkono nchiambayo maaskari wanaua Wananchi wake barabarani ndio inanyoshea Tanzania mkono
Wapeleke upumbafu kwao


Mbowe aache maisha ya kihuni yeye ni kiongozi
Hivi anayekaa na viongozi wenzake kubadilishana mawazo kisha mnamvizia kumshambulia na yule anayevizia shemeji zake na kuwabaka hadi mimba nani muhuni hapo?
Au tumtaje?
 
1591747681728.png
 
Uvccm watasema mbona kwao G. Floyd kauwawa na polisi utadhani uovu hu-halalisha ouvu mwingine
 
Uvccm watasema mbona kwao G. Floyd kauwawa na polisi utadhani uovu hu-halalisha ouvu mwingine
Si umeona kilichotokea baada ya polisi kuua. Nguvu ya umma imeshinikiza mpaka polisi ameshitakiwa kwa kosa la kuua na si kuua bila kukusudia.
 
Si umeona kilichotokea baada ya polisi kuua. Nguvu ya umma imeshinikiza mpaka polisi ameshitakiwa kwa kosa la kuua na si kuua bila kukusudia.
Inasikitisha sana unapoona spika anatoa lugha kejeli vile, siju tunaelelea wapi?
 
Kateni misaada na mikopo na mtumie ushawishi wenu Benki ya Dunia na IMF wakate mikopo mpaka watapokubali kuruhusu ucchunguzi huru wa matukio haya.
Nenda mlangoni kwao kawalilie labda watakusikia...,nenda na pombe
 
Back
Top Bottom