Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Kwa aina hii ya uangukaji nilitarajia mkono,bega na mbavu vipate dhoruba.

Lakini sio kwa mguu. Labda ichezeshe tena tuitazame.
Hilo ni katuni siyo Mbowe huyo naona unaanza kubishana na katuni unafikiri linaonesha Mbowe alivyodondoka. Huo ni mfano tu, Mbowe aliteleza akateguka mguu na katumia mkono. Wewe fikiria watu watutegue mguu na mkono uumie kidogo tu halafu usiwe na alama za kipigo sehemu nyingine za mwili? Ukimwangalia uso hauna alama yoyote. Mwambieni anywe kistaarabu umri umeenda kwa Sasa hawezi kupanda ngazi Kama zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu pia kiongozi wa kiwango cha Mbowe kuwa mlevi

Kuku dume, mabeberu hawa USA, UK, EU nk si dhaifu au wajinga namna hiyo kuingizwa chaka na yeyote yule. Awe Ndugai, kuku dume, Muroto, Mbowe, au lijua lipole.

Hiiii bagosha!
 
Waambieni hao USA wamalizane na mzimu wa Floyd kwanza
 
Sasa mtu anaanguka kwa ulevi wake eti wanasema ameshambuliwa!! Wamshauri aache pombe na ufusika umri umeenda!!

Mkuu mabeberu hawa USA, UK, EU si kina kajamba nani hawa.

Hawa si dhaifu wala si wajinga kihivyo kuingizwa chaka kihivyo si na Mbowe, wewe, Ndugai, lijualipole wala Muroto.
 
Joyce Mukya nasikia anaishi hapo Medali alipoteleza Mbowe kwenye ngazi akielekea kumuona. Huyu Mukya ndo huyo demu viti maalum inayesemekana amemzalia Mwamba au huyu ni demu mpya?
Huyo Joyce Mukya ndo huyo Small house ya mwenyekiti.
Huko haendi na wale mabaunsa ndo maana kaenda saa za wanga asionekane Sasa mweleka umemuumbua kaamua kusingizia vibaka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kagonga zake Bia za kutosha...

Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...

Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???

Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
Wewe na yule mjinga was kulialia kama anafokonyolewa mtaro unatofaut gani naye.
 
Kwanini Ndugai kaamua kutuaibisha sana sisi wananchi kwa kuvunja heshima ya Bunge namna hii?
Naamini wabunge wenye akili timamu kutoka CCM mfano Majaliwa, Chenge, Makamba, Chizeba, Zungu, nk hawafurahishwi na ujinga huu
Huyo chapombe Mbowe ndio kaamua kutuaibisha kwa kuvunja heshima ya Bunge.
KUB unaelewa Hadi unaporomoka kwenye ngazi halafu unasingizia vibaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mabeberu hawa USA, UK, EU si kina kajamba nani hawa.

Hawa si dhaifu wala si wajinga kihivyo kuingizwa chaka kihivyo si na Mbowe, wewe, Ndugai, lijualipole wala Muroto.
Endelea kuwaamini hao mabeberu!
 
Sitaki kuwa upande unaobeza kuwa mh Mbowe alikuwa amelewa au la
Lakini USA sio nchi ambayo ina uthubutu kukemea au kunyoshea nchi nyingine kidole hana MORAL AUTHOULITY. Issue ya askari kuua mtu hadharani na kuondolewa tu kazini ndio imeleta vurugu dunia nzima kwa jinsi alivyolichukulia . Ni wabaguzi wa rangi.
Nashangaa Balozi wetu nchini Marekani hakutoa tamko
Vp mkuu waliomuua yule mwanafunzi? Wao hapa kwetu walichukuliwa hatua gani au wewe kama wew hata kuandamana ulithubutu?
 
Mtu kagonga zake Bia za kutosha...

Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...

Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???

Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
Natumai ungekuwepo ukashuhudia ndio ungesema hivyo usikubali kamwe maneno ya watu ambao nao ni walevi kashuhudie ndio uchangie vinginevyo unatenda dhambi.
 
Tulia wewe choko mlifikir hatutawajua mwaka huu ndo mtaona na babayenu wajinga nyie mnavamia watu mnafikir tutawavumilia mtaelewa tu mwaka huu
Kavamiwa na Nani we Joyce Mukya? Sema ukweli toka lini KUB akatembea bila wale mabaunsa usiku wa manane? Acha kutetea chapombe.
JamiiForums-1006856497_357x433.jpg
JamiiForums167627353_240x240.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom