M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
yetu macho na masikio.Utaendelea kuota mpaka mwisho was dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yetu macho na masikio.Utaendelea kuota mpaka mwisho was dunia.
Hilo ni katuni siyo Mbowe huyo naona unaanza kubishana na katuni unafikiri linaonesha Mbowe alivyodondoka. Huo ni mfano tu, Mbowe aliteleza akateguka mguu na katumia mkono. Wewe fikiria watu watutegue mguu na mkono uumie kidogo tu halafu usiwe na alama za kipigo sehemu nyingine za mwili? Ukimwangalia uso hauna alama yoyote. Mwambieni anywe kistaarabu umri umeenda kwa Sasa hawezi kupanda ngazi Kama zamani.Kwa aina hii ya uangukaji nilitarajia mkono,bega na mbavu vipate dhoruba.
Lakini sio kwa mguu. Labda ichezeshe tena tuitazame.
Ni aibu pia kiongozi wa kiwango cha Mbowe kuwa mlevi
Tega masikio sisi tunachapa kazi tu.yetu macho na masikio.
Kwasababu marekani katoa hiyo statement?Huu ndio mwaka mwepesi kuondoa utawala huu madarakani.
Sasa mtu anaanguka kwa ulevi wake eti wanasema ameshambuliwa!! Wamshauri aache pombe na ufusika umri umeenda!!
Ndio Mungu hao wazungu?Wazungu wanachofanyaga ni kukusanya ushahidi hata miaka mitano huku ukidharau maonyo yao wanayotoaga kiupole
Ukijakustuka umechelewa
Mark this.
Huyo Joyce Mukya ndo huyo Small house ya mwenyekiti.Joyce Mukya nasikia anaishi hapo Medali alipoteleza Mbowe kwenye ngazi akielekea kumuona. Huyu Mukya ndo huyo demu viti maalum inayesemekana amemzalia Mwamba au huyu ni demu mpya?
Wewe na yule mjinga was kulialia kama anafokonyolewa mtaro unatofaut gani naye.Mtu kagonga zake Bia za kutosha...
Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...
Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???
Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
chapa tu kabla hujachapwa wewe na anayekutuma!Tega masikio sisi tunachapa kazi tu.
Huyo chapombe Mbowe ndio kaamua kutuaibisha kwa kuvunja heshima ya Bunge.Kwanini Ndugai kaamua kutuaibisha sana sisi wananchi kwa kuvunja heshima ya Bunge namna hii?
Naamini wabunge wenye akili timamu kutoka CCM mfano Majaliwa, Chenge, Makamba, Chizeba, Zungu, nk hawafurahishwi na ujinga huu
Tulia mtanyooka tu na potojo zenu za kipunga yana akil zenu hazina tofaut na za babayenu wote mapoyoyoHuyo Joyce Mukya ndo huyo Small house ya mwenyekiti.
Huko haendi na wale mabaunsa ndo maana kaenda saa za wanga asionekane Sasa mweleka umemuumbua kaamua kusingizia vibaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuwaamini hao mabeberu!Mkuu mabeberu hawa USA, UK, EU si kina kajamba nani hawa.
Hawa si dhaifu wala si wajinga kihivyo kuingizwa chaka kihivyo si na Mbowe, wewe, Ndugai, lijualipole wala Muroto.
Vp mkuu waliomuua yule mwanafunzi? Wao hapa kwetu walichukuliwa hatua gani au wewe kama wew hata kuandamana ulithubutu?Sitaki kuwa upande unaobeza kuwa mh Mbowe alikuwa amelewa au la
Lakini USA sio nchi ambayo ina uthubutu kukemea au kunyoshea nchi nyingine kidole hana MORAL AUTHOULITY. Issue ya askari kuua mtu hadharani na kuondolewa tu kazini ndio imeleta vurugu dunia nzima kwa jinsi alivyolichukulia . Ni wabaguzi wa rangi.
Nashangaa Balozi wetu nchini Marekani hakutoa tamko
Tulia wewe choko mlifikir hatutawajua mwaka huu ndo mtaona na babayenu wajinga nyie mnavamia watu mnafikir tutawavumilia mtaelewa tu mwaka huuHuyo chapombe Mbowe ndio kaamua kutuaibisha kwa kuvunja heshima ya Bunge.
KUB unaelewa Hadi unaporomoka kwenye ngazi halafu unasingizia vibaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai ungekuwepo ukashuhudia ndio ungesema hivyo usikubali kamwe maneno ya watu ambao nao ni walevi kashuhudie ndio uchangie vinginevyo unatenda dhambi.Mtu kagonga zake Bia za kutosha...
Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...
Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???
Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
Vp Akwilina mkuu?Hata floyd kashambuliwa pia.
Ndugu uzalendo umekujaa mpaka unapitilizaHaifuti kuwa ahmada kalewa mpaka kavunjika mguu
Kavamiwa na Nani we Joyce Mukya? Sema ukweli toka lini KUB akatembea bila wale mabaunsa usiku wa manane? Acha kutetea chapombe.Tulia wewe choko mlifikir hatutawajua mwaka huu ndo mtaona na babayenu wajinga nyie mnavamia watu mnafikir tutawavumilia mtaelewa tu mwaka huu