Kwahiyo?Mtu kagonga zake Bia za kutosha...
Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...
Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???
Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
Huwezi toka kwa jirani ukaenda kwa jirani bali hutoka nyumbani kwenda kwa jiraniHatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Mungu wabariki wazunguHatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Ndoto za alinachaHuu ndio mwaka mwepesi kuondoa utawala huu madarakani.
Mwenye chairMbinu Mpya za kuiba Hela za wafadhili
View attachment 1473648
wewe kapuku mnuka jasho ndio wa kuingiza ubalozi wa Marekani mkenge ?Ubalozi umeingia mkenge
Kateni misaada na mikopo na mtumie ushawishi wenu Benki ya Dunia na IMF wakate mikopo mpaka watapokubali kuruhusu ucchunguzi huru wa matukio haya.
Hata 10 to 15 yrs lengo ni kupata ushahidi usio na chembe ya shaka.wakikunyonga ujue hujaonewa. Waache wachekelee tu. Ipo siku watajuta sana.Wazungu wanachofanyaga ni kukusanya ushahidi hata miaka mitano huku ukidharau maonyo yao wanayotoaga kiupole
Ukijakustuka umechelewa
Mark this.
Mbona Statement ya KUMHUSU Floyd na wausi wengine waliouawa huko kwao mikononi mwa dola hawajatolea tamko?Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Tahadhari kwa MODS; Msiue Uhuru wa mawazo kwa kuondoa hii kuficha ukweli.
Baada ya bunge la JMT Leo hii kuleta mijadala ya wazi kumshambulia Mbowe kuwa ni mlevi na kwamba hakushambuliwa na yeyote bali alianguka kwa ulevi ubalozi wa US umetoa tamko.
Hii ni kuonyesha kuwa imedharau mijadala ya wabunge wetu kuwa ni ujinga tuu uliokuwa unajadiliwa lakini ukweli ni kuwa ameshambuliwa.
Mapema Jumuia ya ulaya nayo ilitoa tamko kulaani pia tukio hilo.
Jambo hili ni aibu kwa Bunge letu pia kwa taifa. Inasikitisha tukio la kishenzi linatokea mataifa ya nje yaliyo jaa ustaarabu yanalaani sisi wanaojiita "WAHESHIMIWA" wanakejeli na kufurahia!
Ukweli Ndugai ni Mtanzania wa kwanza kulidhalilisha bunge kwa kiwango cha juu hadi kufanana na kusanyiko lisilo heshima.View attachment 1473738
Hawa so walitudharau hata njia ya maombi tuliotumia kwenye coronaTahadhari kwa MODS; Msiue Uhuru wa mawazo kwa kuondoa hii kuficha ukweli.
Baada ya bunge la JMT Leo hii kuleta mijadala ya wazi kumshambulia Mbowe kuwa ni mlevi na kwamba hakushambuliwa na yeyote bali alianguka kwa ulevi ubalozi wa US umetoa tamko.
Hii ni kuonyesha kuwa imedharau mijadala ya wabunge wetu kuwa ni ujinga tuu uliokuwa unajadiliwa lakini ukweli ni kuwa ameshambuliwa.
Mapema Jumuia ya ulaya nayo ilitoa tamko kulaani pia tukio hilo.
Jambo hili ni aibu kwa Bunge letu pia kwa taifa. Inasikitisha tukio la kishenzi linatokea mataifa ya nje yaliyo jaa ustaarabu yanalaani sisi wanaojiita "WAHESHIMIWA" wanakejeli na kufurahia!
Ukweli Ndugai ni Mtanzania wa kwanza kulidhalilisha bunge kwa kiwango cha juu hadi kufanana na kusanyiko lisilo heshima.View attachment 1473738
Ni aibu pia kiongozi wa kiwango cha Mbowe kuwa mleviNi aibu kuwa na Spika anayeitwa Ndugai.