Pengine tukumbuke kuwa siku ya tukio Bashite alikuwa Dodoma. ... connection?Ndugu unawaamini hawa hata upoteze energy yako kuuliza swali hili?
Leo bungeni ndiyo kabisa Spika Job Ndugai kadhihirisha kuwa ni miongoni mwa walioratibu show nzima....
Ametoa "conclusion" kwamba jamaa kuumia kwake ni kwa "kuanguka kwa sababu ya ulevi" na wakati huohuo eti anawaasa wabunge wenzake wasubiri uchunguzi wa Polisi....
Ni wazi kuwa taarifa ya upelelezi ndiyo hiyo imeshatoka. Polisi wataogelea humuhumu. Na wakija na taarifa tofauti, tutakutana hapa hapa kupeana mrejesho....
Kwa hiyo mliomba Mungu wa mnaowaita mabeberu Corona ikapona.Hawa so walitudharau hata njia ya maombi tuliotumia kwenye corona
Inabidi sasa kipengere cha Kabila kiwe muhimu kwenye kuchagua viongozi maana makabila mengine hsyastahili uongozi.Kuna makabila mengine hayapo duniani kwa lengo la kutawala, kuongoza na kushika nyadhifa za juu kiutendaji Mfano ni kabila na kiongozi wa mhimili wa bunge na mhimili mkuu, na ndio mana hata katika uumbajj mungu Alliumba wanyama kama pundamilia, swala na nyumbu wakawa wengi kuliko Chui na Simba lakini akawapa nguvu na ufalme hao wachache ili wawatawale wengi vivyo hivyo hawa watani zangu wasuKUMA na wagogo is more like ya kundi la wanyama walioumbwa wengi sana huko mbugani yalifanyika makosa somewhere kukabidhi ufamle kwa Pundamilia na nyumbu
Kwani askari waliofanya mauaji Marekani hawajafikishwa mahakamani?Vipi askari aliyempiga risasi Akwilina mbona anapeta tu.Mkitaka msifuatwefuatwe acheni kuwategemea kwa lolote!Usa hana haki ya kunyoshea Tanzania mkono nchiambayo maaskari wanaua Wananchi wake barabarani ndio inanyoshea Tanzania mkono
Wapeleke upumbafu kwao
Mbowe aache maisha ya kihuni yeye ni kiongozi
Hujui kwamba kesi ipo tayari mahakamani wakati ya mashambulizi ya Lisu hajakamatwa hata mtuhumiwa mmoja.Wamarekani safisheni nyumba yenu kwanza,ni chafu mno.Suala la kifo Cha George Floyd hamjalimaliza mmeanza kudandia mambo mengine.Badala ya kutatua matatizo ya nchi yenu kwanza mnaanza kuangazia mambo ya mlevi,mshaurini apunguze kulewa.
Waambie wamwambie sultani aache ulevi na uzinziHatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Kwani askari waliofanya mauaji Marekani hawajafikishwa mahakamani?Vipi askari aliyempiga risasi Akwilina mbona anapeta tu.Mkitaka msifuatwefuatwe acheni kuwategemea kwa lolote!
Pombe sio chai nduguHivi mna uhakika gani kama ni pombe?? Na hizo pombe kwani kaanza kunywa jana??
Kwani kila mtu anapolewa ni lazima avunjike?Hivi mna uhakika gani kama ni pombe?? Na hizo pombe kwani kaanza kunywa jana??
Marekani haiwezi Fanya shughuli zake bila Tanzania?Acha uzuzu na hizo story za vijiweni basi!Wao pia wanatutegemea
Na nyinyi mnatakiwa kuwakosoa,lakini pia hata kama ya kwao yanawashinda kosa halihalalishwi kwa kufanya kosa.Ya kwao yamewashinda huko USA
Kabisa mkuu.Wamekuwa kama Interahamwe wa kule Rwanda!Wazungu watusaidie kupiga kelele dunia ione ushenzi wa Serikali ya ccm
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622