Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kwanini wasishirikiane na vyo7mbo vyetu vya usalama ili kudhibiti kuliko kuwatia wananchi hofu waishi bila furaha? Kauli zao tumesha zizoea, mfano Balozi wetu nchini Marekani atoe Taarifa kwa Watanzania na Raisa wa East Afrika wasitemblee Marekani kuna matishio ya watu kuuliwa kwa kupigwa Risasi unafkiri huyo Barozi wetu si angepewa Masaa 24 aondoke Marekani, Mabalozi kama awa ndiyo maana Magufuli alikuwa ana warudisha makwao uko.Mbona issue ya Garissa walionya na ikatick..... Tusipende ujuaji! wao Wana intelijensia kuliko nchi zetu maskini hizi sio sisi ikitokea mikutano ya Chadema ndio eti taarifa za intelijensia zinafanya kazi!!
Wabongo ni wavivu wa kusoma alafu ni wajuaji balaaHiyo mikutano inahudhuriwa na westerners?! Tahadhari imetolewa kwa wazungu, siyo wabongo.
Hiyo ni notice Kwa wazungu wenzao so ni kuwatahadharisha tu sio kwamba wamesema wasije.Kwanini wasishirikiane na vyo7mbo vyetu vya usalama ili kudhibiti kuliko kuwatia wananchi hofu waishi bila furaha? Kauli zao tumesha zizoea...
kwani ni nani amekwambia hiyo teknolojia haipo hapa nyumbani komredi?! Mbona hayo mambo ni madogo sana kwa TISS Kiongozi?! Ongea vingine 😊Crap.
Wenzio wana teknolojia ya kunasa mawasiliano yawe ya simu, internet, whatsap, etc.
Ni vyema sana umemjibu huyo bwana kwa utu na uungwana... kuliko wenye kumshushua na kumbeza!Ukuaji wa sayansi na teknolojia unatumiwa kiusalama vyema na wenzetu.
Kwa wenzetu uhai na usalama wa raia wao ndio kipaumbele cha kwanza, iwe ndani ya nchi zao au nnje ya nchi zao.
Ni vyema sana umemjibu huyi bwana kwa utu na uungwana... kuliko wenye kumshushua na kumbeza!Ukuaji wa sayansi na teknolojia unatumiwa kiusalama vyema na wenzetu.
Kwa wenzetu uhai na usalama wa raia wao ndio kipaumbele cha kwanza, iwe ndani ya nchi zao au nnje ya nchi zao.
Hahaha! Gaidi sio maana yake hiyo iliyojengwa mawazoni mwako...Nilipo ni karibu na msikiti nikisikia ugaidi basi napataga mawazo sana na hawa maostadh hapa jirani
StupidLissu atajipatia point.
Bashungwa Innocent do your work.
Hapa umeongea la maana sana! Nakupa kongoleNdugu neno security ni pana, unaweza kusoma wewe mpaka wajukuu zako na bado msimalize.
Kuna watu wanajua mpaka kilichopo akilini mwa watu wengine
Wamarekani ni machizi tu! Huenda washalijua hilo wakawaacha... kuna vituko sana kuleCalifornia watu Kazaaa wametwangwa risasi mbona hawakuzuia?
Hamza ni nani na alifanya nini na sababu ya kufanya aliyoyafanya ilikuwa ni nini?!Hiyo ni notice Kwa wazungu wenzao so ni kuwatahadharisha tu sio kwamba wamesema wasije.
Kushirikiana mbona kupo, si Kuna gaidi mwandamizi wa ISIS alipita Tz hapa ila TISS hawakumuona mpaka CIA ilipokuja kuwashtua.
So partnership ipo ila lazima alert itolewe watu wawe makini. Huku kwetu Kila kitu ni Siri maana wakitangaza wanaona ni kama wanakiri udhaifu hivi ila yakishatokea kama ya Hamza ndio tunaamka usingizini.
Alikuwa ni Jihad John kama sikosei na ilionekana ametinga mara 2 kabisa kwa kupitia JNIA, sisi tupo tu tunasimamia mitihani ya darasa la 7!Kushirikiana mbona kupo, si Kuna gaidi mwandamizi wa ISIS alipita Tz hapa ila TISS hawakumuona mpaka CIA ilipokuja kuwashtua.
Elimu yenyewe ya tia maji tia maji 😅Alikuwa ni Jihad John kama sikosei na ilionekana ametinga mara 2 kabisa kwa kupitia JNIA, sisi tupo tu tunasimamia mitihani ya darasa la 7!
Walitoaga alert ishu ya ugaidi kibiti pia enzi zile nakumbuka...Nakumbuka alert kama hizi kule Kenya, halafu wakashambulia supermarket ile maarufu, na chuo kikuu kimoja...
Ushawishi wa nini,bro mzungu hana akili za kiarabu na kiafricaHuwa wanayapanga wao Ili kupata ushawishi flani hivi
Umesema:-Wacha wawabondee tujifunze, kama Uongoz mdhaifu hivi hata ulinzi lazma uwe dhaifu vile vile.
Hii nchi awamu hii tusipokuwa makin kuna mambo yatatokea na kuharibu maisha ya watu sababu ya uzembe wa uwajibikaji wa viongozi na wahusika...
Yule balozi mwahili ameombwa kuzuia mikutanoWanataka polisi wapate sababu za kuzuia mikutano ya hadhara!!!!