Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Jidanganye mzee,Kuna TISS wengi sana wametapakaa,huko posta ndo usiseme
Hajaona mafundi wa viatu na shoe shiner ambao hata machinga wafukuzwe vipi, wao watabaki pale pale, wametegeshwa nje ya majengo ya kimkakati, njia panda, hospitali, madaraja muhimu, Ofisi muhimu.masoko, feri, hospitali kubwa
 
Kwanini wasishirikiane na vyo7mbo vyetu vya usalama ili kudhibiti kuliko kuwatia wananchi hofu waishi bila furaha? Kauli zao tumesha zizoea, mfano Balozi wetu nchini Marekani atoe Taarifa kwa Watanzania na Raisa wa East Afrika wasitemblee Marekani kuna matishio ya watu kuuliwa kwa kupigwa Risasi unafkiri huyo Barozi wetu si angepewa Masaa 24 aondoke Marekani, Mabalozi kama awa ndiyo maana Magufuli alikuwa ana warudisha makwao uko.

Magufuli aliwahi kumrudisha balozi yupi?!
 
Mbona nasikia raia wanauwana hovyo kwa sababu ya urahisi wa kumiliki silaha na serikali haifanyi kitu?
Shida ya kuwapa watu uhuru uliopitiliza unakuwa na changamoto zake.

Katika kuhakikisha usalama wa raia unakuwepo kwa hali na mali, Joe Biden anataka kupeleka muswada wa kuzuia uuzaji holela na umiliki holela wa silaha. Hiyo ni hatua muhimu sana kulinda raia.
 
Hivi kama hawa jamaa huwa wanajua kuna dalili ya ugaidi, kwanini huwa hawatuambii hivyo vitisho vitatokea wapi ili vikamalizwe huko huko, kuliko wanavyofanya kutoa tahadhari pekee na kutuacha njia panda?

Ni wenyewe wanaratibu, halafu wanajifanya wameagua.
 
Mzungu kaandika hapo kasema tishio ji kwa maeneo yanayotembelewa zaidi na wamagharibi (wazungu)....."areas frequented by westerners". Siyo maeneo ya Mwembeyanga na Kwamtogole ambako waswahili wamejaa.
Kuna ma-westerners wa tandale akina diamondo, kiba, konde boy.....
 
Jmn mnaojua kingereza tutafsirien kuna hali ya hatari au!! [emoji849]naona neno terrorist hapo!
wanasema
maeneo yanayolengwa sana ni yale yanayotembelewa na wageni kutoka hasa raia wa Marekani na nchi za Magharibi maeneo ya Draesalaam, maeneo mengine ya Tanzania kama hotel, migahawa, balozi mbalimbali, vituo vya polisi,misikiti,masoko ya kawaida na masoko makubwa "Mall" na sehemu za wageni
 
Shida ya kuwapa watu uhuru uliopitiliza unakuwa na changamoto zake.
Katika kuhakikisha usalama wa raia unakuwepo kwa hali na mali, Joe Biden anataka kupeleka muswada wa kuzuia uuzaji holela na umiliki holela wa silaha. Hiyo ni hatua muhimu sana kulinda raia.
Nasikia hao wauza silaha ni ndio kikwazo ni kama wauza unga.
 
wanasema
maeneo yanayolengwa sana ni yale yanayotembelewa na wageni kutoka hasa raia wa Marekani na nchi za Magharibi maeneo ya Draesalaam, maeneo mengine ya Tanzania kama hotel, migahawa, balozi mbalimbali, vituo vya polisi,misikiti,masoko ya kawaida na masoko makubwa "Mall" na sehemu za wageni
Hao wageni wa kwenda misikitini ni waarabu au?
 
Hao wageni wa kwenda misikitini ni waarabu au?
Neno wageni ni pana sana elewa tu hilo, na sio kila avae kanzu na kuingia msikitini ni muislamu au mwarabu na sio kila avae msalaba na kuingia kanisani ni Mkristo au mzungu watu wajanja sana boss wangu
 
Lissu anahusikaje hapo mkuu acha chuki ww tukufuatilie huenda ulihusika kumpga risasi
Mkuu, umeniunganishia tu, Lisu hajatajwa!

Hivi majina ya kibantu-tz yanakuwa na hizo double consonants?
 
Hivi kama hawa jamaa huwa wanajua kuna dalili ya ugaidi, kwanini huwa hawatuambii hivyo vitisho vitatokea wapi ili vikamalizwe huko huko, kuliko wanavyofanya kutoa tahadhari pekee na kutuacha njia panda?
Magaidi ni haohao USA
 
Ubalozi wa Marekani unasema tuwe makini na mashambulio ya kigaidi, hayo makundi ya kigaidi yanaweza kushambulia kwa kutoa onyo dogo au wasitoe kabisa, wanadai kuna dalili Dsm au maeneo mengine ya Tanzania yakashambuliwa na magaidi, maeneo hayo yanayoweza kushambuliwa ni kama hoteli, balozi, migahawa na masoko.
... hasa penye raia wengi wa kigeni/wa magharibi.

Maeneo yanayohisiwa kushabuliwa ni misikiti, mahotelini, kwenye balozi hususani penye mikusanyiko ya raia wa kigeni kutoka Magharibi (Amerika).
 
Tena kama ni alshabab watasambaratisha sana wafuasi wa chadema,,,acha wajifanye jeuri watajuta na mikutano yao
 
Itachukua miaka mingi kufuta hiyo kitu vichwani mwa watu wengi, tena hasa wale wavaa suruali fupi ndo hao niko jirani nao
sasa we umeshajijengea imani mbaya na Waislam... hao sio magaidi na wala sio maana yake. Futa hiyo na relax!

Hawana huo ubavu wala mawazo hayo... kuwa na amani😊
 
Punguza ujuaji hata Habib Anga aliwahi kuleta thread juu ya mpango wa kuvamia Mlimani City ila ukawa botched na TISS dakika za mwisho baada ya kutonywa na majasusi wa nje!!

Ndio nasema kwanini huwa hamuwezi fikiria uwepo wa gunman kma Hamza eneo kama kariakoo au Manzese Ili hata likitokea la kutokea akutane na askari standby? Ila intelijensia yenu imejikita kwenye Chadema tu na kudukua simu za viongozi.

Empty set kabisa
Hujajibu swali we mpumbavu! Mimi sijaleta ujuaji... tuambie Hamza ni nani na alifanya nini?! Na zipi sababu za yeye kufanya aliyofanya?!
 
Back
Top Bottom