chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #241
Hajaona mafundi wa viatu na shoe shiner ambao hata machinga wafukuzwe vipi, wao watabaki pale pale, wametegeshwa nje ya majengo ya kimkakati, njia panda, hospitali, madaraja muhimu, Ofisi muhimu.masoko, feri, hospitali kubwaJidanganye mzee,Kuna TISS wengi sana wametapakaa,huko posta ndo usiseme