Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Wapinzani wa sasa wamekaa kishamba sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
Mimi nimeona 'kipeperushi' chenye 'background' ya mwewe kashikilia ngano kwenye mguu mmoja, na huo wa pili sijui kashika nini..., au ndio mkono unaotumika kuwarekebisha waliokengeuka?
 


Ebu mkiwa na vichwa vyenu, muwe mnafikiri kabla ya kujazwa upepo upepo tu mtapasuka bure.. US yenyewe tume yao ni huru? Trump mwenyewe kaiba kura kielectroniki, so mambo ya kuwa mnatiana moyo kwa vitu vya kufikirika tu acheni. Kwa kazi kubwa ya kutukuka aliyofanya Mh. Rais Magufuli, hata umlete nani 2020 Mh. Rais atashinda kwa kura nyingi sana. Mm natabiri 90%+. Ila mambo ya kupewa matumaini sijui na ubalozi wa US, hiyo ni kiini macho, hivi kwanini mna vichwa kama vibuyu, you can't think deep kabisa.
 
LOooh, hili jibu sidhani kama atakuwa na hamu ya kumeza chakula siku nzima leo.
 
Hatuwezi kuendelea kuongozwa kijuha namna hii.!!!
Naunga mkono tume huru ya uchaguzi ipatikane tu mapema.
Tumechoja! Tumechoka ! Tumechoka !




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hata Marekani inadaiwa mikopo kutoka washitiri mbalimbali, nini cha ajabu kwa nchi ndogo km Tanzania kukop ama kudaiwa?
 
Hii ndio sababu mhimu sana pawepo na tume huru ya uchaguzi; na nina hakika hata yeye Magufuli angefurahi sana kuupata ushindi wa aina hii usiokuwa na mawaa yoyote.

Lakini pamoja na kuwa na uhakika huo, hata wewe bado unahalalisha yasiyostahiri kama hapa chini
Ebu mkiwa na vichwa vyenu, muwe mnafikiri kabla ya kujazwa upepo upepo tu mtapasuka bure.. US yenyewe tume yao ni huru? Trump mwenyewe kaiba kura kielectroniki, so mambo ya kuwa mnatiana moyo kwa vitu vya kufikirika tu acheni.
Hata kama ingekuwa kweli kwamba Trump aliiba kura 'kielectronic', hakuna raia wake waliopigwa marungu/mabomu ya machozi; na kutishiwa uhai hadi wengine kuogopa kwenda kupiga kura!
 
M
Mungu wabariki mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…