Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

Hiyo ni account ya US embassy kweli??

BTW, Wagner sio jeshi, ni mercenaries. Hata sheria za kulinda wafungwa wa kivita (PoW) haziwahusu, wakikamatwa front line ni risasi tu.
Zinawahusu.. Sababu ya Geneva convention. Ukishakamata binadamu na yuko unarmed huwezi kumuexecute mpaka ahukumiwe na mahakama, unless amekataa kusurrender au retreat
 
Mkuu kwa kule Russia, ni kweli wafungwa wamekuwa recruited. Vijana wengi wa kirusi walikimbia nchi wakati Putin alipotangaza kuongeza wanajeshi. Kama sikosei ni kama “drafting”

Lakini Wagners kawaida ni “mercenaries”, na wana recruit everywhere.
 
"Video"?

Umejiridhisha nayo hiyo video kuwa ni ya hao "Wagner Grp"?

Umesikia hayo "masharti" wakipewa wafungwa wenyewe ili waamue watakacho kifanyike?
Ile video inaonyesha prison compound,wafungwa wote wameitwa pale(na hawa wafungwa ni Warusi,kwa hiyo tusiseme Russia inalazimisha foreigners),halafu mtu mmoja yupo pale katikati ya compound,anatoa hotuba.
We una maswali mengi. Inaonyesha unataka kujiunga na Wagner(ambayo wanaiita'Vagner')
 
Lah, tunakoseana heshima kiasi hiki, mkuu 'Poppy Hatann'.?

Hiyo milioni nane tu inizuzue kiasi hicho?

Kwanza sina sifa wanazozitaka, kama inavyoonyesha kwenye tangazo lao!
 
Wanatuhangaikia nini watanzania tusiojali haki zetu? Serikali yetu haioni kama kuna tatizo mradi tu warusi watupe misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…