Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

Hiyo ni account ya US embassy kweli??

BTW, Wagner sio jeshi, ni mercenaries. Hata sheria za kulinda wafungwa wa kivita (PoW) haziwahusu, wakikamatwa front line ni risasi tu.
Zinawahusu.. Sababu ya Geneva convention. Ukishakamata binadamu na yuko unarmed huwezi kumuexecute mpaka ahukumiwe na mahakama, unless amekataa kusurrender au retreat
 
Asante mkuu jmushi' kwa hii taarifa muhimu kama ni taarifa halisi toka kwa Wagner Grp.

Kwa hiyo hapa inaonyesha si lazima mtu awe mfungwa, mtu yeyote anaweza, kwa utashi wake akaamua kuomba kazi.

Kinachotakiwa sasa ni kuondoa hii 'stigma' ya ufungwa inayowekwa mbele, tena ufungwa wa kukutwa na madawa ya kulevya! Kwa nini kila mara iwe hivi!

Ninachoona hapa, kuna ushawishi mkubwa kwa vijana wengi, kutokana na 'incetives' hizo zinazotolewa.

Kumbuka, hawa ni vijana, damu bado zinachemka, na hawaamini kamwe kwamba wao maisha yao yanaweza yakawa hatarini.
Mkuu kwa kule Russia, ni kweli wafungwa wamekuwa recruited. Vijana wengi wa kirusi walikimbia nchi wakati Putin alipotangaza kuongeza wanajeshi. Kama sikosei ni kama “drafting”

Lakini Wagners kawaida ni “mercenaries”, na wana recruit everywhere.
 
"Video"?

Umejiridhisha nayo hiyo video kuwa ni ya hao "Wagner Grp"?

Umesikia hayo "masharti" wakipewa wafungwa wenyewe ili waamue watakacho kifanyike?
Ile video inaonyesha prison compound,wafungwa wote wameitwa pale(na hawa wafungwa ni Warusi,kwa hiyo tusiseme Russia inalazimisha foreigners),halafu mtu mmoja yupo pale katikati ya compound,anatoa hotuba.
We una maswali mengi. Inaonyesha unataka kujiunga na Wagner(ambayo wanaiita'Vagner')
 
Ile video inaonyesha prison compound,wafungwa wote wameitwa pale(na hawa wafungwa ni Warusi,kwa hiyo tusiseme Russia inalazimisha foreigners),halafu mtu mmoja yupo pale katikati ya compound,anatoa hotuba.
We una maswali mengi. Inaonyesha unataka kujiunga na Wagner(ambayo wanaiita'Vagner')
Lah, tunakoseana heshima kiasi hiki, mkuu 'Poppy Hatann'.?

Hiyo milioni nane tu inizuzue kiasi hicho?

Kwanza sina sifa wanazozitaka, kama inavyoonyesha kwenye tangazo lao!
 
Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi.

Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.

View attachment 2488873
Wanatuhangaikia nini watanzania tusiojali haki zetu? Serikali yetu haioni kama kuna tatizo mradi tu warusi watupe misaada.
 
Back
Top Bottom