"Video"?Nimeona video clip. Whatdoesitmean.com.
Umejiridhisha nayo hiyo video kuwa ni ya hao "Wagner Grp"?
Umesikia hayo "masharti" wakipewa wafungwa wenyewe ili waamue watakacho kifanyike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Video"?Nimeona video clip. Whatdoesitmean.com.
Mercenaries wangapi wamekufa upande wa Ukraine?Vipi angekuwa anapgania upande wa Ukraine wangeuliza?
Zinawahusu.. Sababu ya Geneva convention. Ukishakamata binadamu na yuko unarmed huwezi kumuexecute mpaka ahukumiwe na mahakama, unless amekataa kusurrender au retreatHiyo ni account ya US embassy kweli??
BTW, Wagner sio jeshi, ni mercenaries. Hata sheria za kulinda wafungwa wa kivita (PoW) haziwahusu, wakikamatwa front line ni risasi tu.
Mkuu kwa kule Russia, ni kweli wafungwa wamekuwa recruited. Vijana wengi wa kirusi walikimbia nchi wakati Putin alipotangaza kuongeza wanajeshi. Kama sikosei ni kama “drafting”Asante mkuu jmushi' kwa hii taarifa muhimu kama ni taarifa halisi toka kwa Wagner Grp.
Kwa hiyo hapa inaonyesha si lazima mtu awe mfungwa, mtu yeyote anaweza, kwa utashi wake akaamua kuomba kazi.
Kinachotakiwa sasa ni kuondoa hii 'stigma' ya ufungwa inayowekwa mbele, tena ufungwa wa kukutwa na madawa ya kulevya! Kwa nini kila mara iwe hivi!
Ninachoona hapa, kuna ushawishi mkubwa kwa vijana wengi, kutokana na 'incetives' hizo zinazotolewa.
Kumbuka, hawa ni vijana, damu bado zinachemka, na hawaamini kamwe kwamba wao maisha yao yanaweza yakawa hatarini.
Sawa tu mkuu. Wameweka mawasiliano yao hadi ya WhatsApp. Unaweza kujiunga tu hakuna shida. Ikiwezekana wanasema uende kwenye ubalozi wa Russia ulioko karibu na wewe.Twende na Wegner
Tatizo ukirudi, TISS watakunyemelea sanaSawa tu mkuu. Wameweka mawasiliano yao hadi ya WhatsApp. Unaweza kujiunga tu hakuna shida. Ikiwezekana wanasema uende kwenye ubalozi wa Russia ulioko karibu na wewe.
Ile video inaonyesha prison compound,wafungwa wote wameitwa pale(na hawa wafungwa ni Warusi,kwa hiyo tusiseme Russia inalazimisha foreigners),halafu mtu mmoja yupo pale katikati ya compound,anatoa hotuba."Video"?
Umejiridhisha nayo hiyo video kuwa ni ya hao "Wagner Grp"?
Umesikia hayo "masharti" wakipewa wafungwa wenyewe ili waamue watakacho kifanyike?
Wewe akili hauna,kuna tofauti kati ya mtu aliyeenda kwa hiari yake mwenyewe na huyu aliyelazimishwaWaliotunguliwa na ndege ya Ukraine mwanzoni mwa operation alikuwamo mtz mbona hawkuhoji. Waache unafiki mashoga hao
Sio kweliNi mtanzania au mwenye asili ya Tanzania? Huwezi kuajiriwa kama askari kwenye Jeshi lolote la Marekani kama siyo raia.
Lah, tunakoseana heshima kiasi hiki, mkuu 'Poppy Hatann'.?Ile video inaonyesha prison compound,wafungwa wote wameitwa pale(na hawa wafungwa ni Warusi,kwa hiyo tusiseme Russia inalazimisha foreigners),halafu mtu mmoja yupo pale katikati ya compound,anatoa hotuba.
We una maswali mengi. Inaonyesha unataka kujiunga na Wagner(ambayo wanaiita'Vagner')
Wanatuhangaikia nini watanzania tusiojali haki zetu? Serikali yetu haioni kama kuna tatizo mradi tu warusi watupe misaada.Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi.
Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
View attachment 2488873
Ana asili ya kitanzania ila ni raia wa Marekani, hivyo siyo raia wa Tanzania...naunga mkono hoja.
..kuna kijana wa Kitanzania ni askari ktk jeshi la Marekani lakini hakuna mtu amelalamika.
Yes ili wajue kama kuna mamluki wengine ndani ya bongo njaaa kali! wawashughulikieVipi angekuwa anapgania upande wa Ukraine wangeuliza?