Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

Huu ndio ukweli, nchi tajiri kama U. S sio kwamba hakuna mafukara kule, bali namba ya matajiri ni kubwa kuliko maskini. Hata kwenye nchi maskini Sana,kuna watu matajiri wa kutupa ila huwa wachache. Tanzania nakupenda.
Uongo .Idadi ya watu marekani sensa ya 2017 walikuwa 326,971,407 wakati mamilionea walikuwa milioni 11 kwa mwaka huo ukitoa hapo utapata watu milioni 321,971,407 hawako kundi la mamilionea
 
Linapokuja suala la maendeleo, ni Chadema na Mh. Lissu ndio wanaishi falsafa za Mwl. kwa vitendo - HAKI, AMANI, MAENDELEO, UTU, UPENDO, UDUGU!
"Mwalimu Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu"...Tundu Lissu.

Sasa Lissu hawezi kufuata falsafa za mtu kama huyo ambaye alishamchana kabisa kuwa ni muongo na mdanganyifu ambaye alikuwa akisema asiyo yatenda.
 
Bunge fake haliwezi kuwa ni bunge linalowakilisha wananchi.Bunge la Tanzania ni bunge fake kwa sababu wabunge wake hawatokani na mchakato wa kisheria.Bunge la Tanzania ni bunge fake kwa sababu zifuatazo:

1.Bunge la Tanzania limewekwa mfukoni na Rais Magufuli kwa sababu tumeona mara kadhaa akiingilia uhuru wa bunge hilo ikiwa ni pamoja na kumhonga speaker zawadi ya jina la soko.Rais Magufuli alishinikiza soko huko Dodoma liitwe soko Ndugai.Hii imeondoa uhuru wa bunge hilo katika kufanya maamuzi sahihi.

2.Wabunge wa bunge la Tanzania wanatokana na tume ambayo mkurugenzi wake ni Mteule wa Rais Magufuli.Hii imesababisha tume ya uchaguzi kufanya maamuzi kwa maslahi ya Rais Magufuli ikiwa ni pamoja na kulazimisha baadhi ya wabunge wa CCM kupita bila kupingwa bila ya kuzingatia sheria.

3.Mchakato mzima wa kuwapata wabunge wa bunge la Tanzania chini ya Rais Magufuli umekuwa ambao hauzingatii sheria.Mawakala wa upinzani wamekuwa wakinyimwa matokeo vituoni,wakinyimwa fomu za viapo,etc.

Kwa hiyo hili bunge fake haliwezi kutunga sheria zinazoangalia maslahi ya wananchi bali linatunga sheria zinazoangalia maslahi ya Magufuli
 
Hivi uelewa wako upoje mtu akiongelea kitu in context ?? Hapo juu umejinasibu kuandika sheria zilizopitishwa " kandamizi" zipo wizara gani? Au tukichukulia kibanadamu Mimi na wewe , je katika shida zetu au matarajio yetu ya siku ,wiki, mwezi, mwaka, miaka n.k mangapi yanauhusiana na chakula, Malazi, elimu, afya, Usafiri, mitaji ndio utakuja kwenye hizo unazo ziita "kandamizi" sasa u have to st up your priorities.
 
 
Wasiwe wanawaza kwa kutumia makalio. Kule kwao hivyo vitu havipo?ndege hazipo?train za mwendo kasi hazipo? Sisi tunaenda na vyote kwa pamoja.

Tumeinvest kwa watu na vitu.example wanafunzi wanasoma bure from Standard one to four 4.,tunatoa mikopo ya elimu ya juu.tumepeleka madaktari kusoma masters ,wengine wamesomea dawa za usingizi na nk.

Tunatoa huduma za afya bure kwa mama na mtoto na wazee.wasitupangie cha kufanya .hatutumii akili zao .Utajiri waliyonao ni Jasho la mababu zetu waliyowateka nyara na kuwapeleka huko.wasiziamshe hasira zetu.jinga kabisa
 
Huyu Nyerere alikuwa ana akili na maono mapana sana. A true genius to be reckoned with.

Hapa ilikuwa miaka ya 70's huko lakini maneno yake yanaishi kama ameyaongea jana.

Huyu super genius huwezi kumlinganisha na hawa akina magufuli wasiojua hata Kiswahili.

Aisee tumepoteza nchi. Nchi imevamiwa na wahuni wasio na falsafa wala maarifa.
 
Kwa hiyo unapingana na maneno ya Nyerere katika video uliyonitumia wakati umekiri mwenyewe kuwa hiyo ndiyo maana halisi ya maendeleo ya watu?
 
Sisi tunaenda na vyote kwa pamoja. Tumeinvest kwa watu na vitu.

Uwanja wa ndege wa chato unamsaidia nani?

Kwahiyo maendeleo ya magufuli ya kujijengea makasri chato ndio maendeleo ya watanzania milion sitini?
 
Maendeleo ya Madaraja ya Dar wakati huku Mikoani njaa imetalamaki
 
Maendeleo ya Madaraja ya Dar wakati huku Mikoani njaa imetalamaki
Si mkalime
Mvua imenyesha mfurulizo kwa miaka mitano na bado unulia njia.acha uvivu.kalime,kafuge.nk.ukitaka JPM akulishe kama makinda?
 
Kama ni kweli hii ni post ya USA Embassy na wameandika hivyo wakilenga kukosoa juhudi za JPJM kwa kumbeba TAL basi wanasahau kuwa ili watu waendelee lazima uendeleze vitu. USA imeendelea kwa kuendeleza miundombinu yao. Hapa Tanzania tunatumia vitu ili kuendeleza watu na vyote hivi vinaenda sambamba. Tujiulize hivi kweli USA nao wanapinga uendelezaji wa umeme, barabara, maji, hospitali, afya n.k.??? Waseme bayana ili tujue kuwa kweli hawataki tuendelee. Mantiki ya Mwalimu Nyerere ilikuwa kuwa tusijisahau kwa kuendeleza vitu ambavyo havitawaendeleza watu. Kwa mfano sisi Tanzania mwaka huu tungetumia fedha zetu kujenga roketi ya kwenda Jupiter!!! Hilo ndiyo Mwalimu alikuwa analikataa period. Uzuri wake ni kwamba JPJM amejikita katika kuendeleza vitu ambavyo hakika vitawaendeleza watu. Hivi jamani hao akina TAL wakipewa uongozi watatuendelezaje bila kuendeleza vitu, yaani umeme, barabara, maji, miundombinu ya elimu, afya, nk. ????
Suala hili ninanikumbusha ule mzozo wa nini kilianza kuku au yai? lake?
MJADALA HUU WA MAENDELO YA WATU VS MAENDELEO YA VITU umeshashindwa kutushawishi tusimchague JPJM , mwenye maono ya muafaka ya kutukomboa kutoka ukoloni mambosasa. Mungu ibariki Tanzania.
 
Sisi vijana wa zamani Mwl alishatuonya kuwa ukiona mzungu (insert "beberu") anakusifu jiulize mara mbili. Ukiona anawashwawashwa ujue umemdungua mshale wa matako..
 
Kwa hiyo unapingana na maneno ya Nyerere katika video uliyonitumia wakati umekiri mwenyewe kuwa hiyo ndiyo maana halisi ya maendeleo ya watu?
Naona hatupo kwenye wave length moja, nitajaribu kukueleza tena.
Mwl ameongea vingi lakini cha msingi na kufuatana na uzito wa mambo ni kama itakavyo
1. Ili maendeleo yawe ni maendeleo ya watu basi hayo maendeleo ya mguse mtu.
Kama Barabara, flyover, interchange, maji, shule , afya, n.k
Sasa team pinga pinga mnaelewa mpaka hapo? Na kumgusa ni kwamba inakuwa ni nyezo ya kumuwezesha mtu au watu kujipatia riziki zake au maendeleo kwa ujumla.
Sasa ukisha maliza huko ndio unaangalia hizo criteria zingine kama democracy ingawa hakuwa specific kuhusu chama kimoja au vingi na akatoa mfano wa Drc na vyama 140 je hiyo ni manifestation kuwa drc ni more democratic than Tz au ni vipi??
Na nyongeza yangu kwako base on sheria kandamizi, je zinakwamisha haki zako za kufanya maendeleo??
 

Point ya Nyerere ya kwamba ili maendeleo yawe ni maendeleo ya watu ni lazima kuwe na uhuru wa watu pamoja na demokrasia unaikwepa ndiyo maana unaiita ni "mengineyo".Unaikwepa kwa sababu unajua maendeleo anayofanya Magufuli yanapinga uhuru wa watu pamoja na demokrasia.Point hiyo haiwezi kuwa ni "mengineyo" kwa sababu hata Nyerere mwenyewe amesema kuwa huwezi kusema kuwa una maendeleo wakati watu wanaishi kwa hofu.Uhuru na demokrasia ndiyo point kubwa na point namba moja katika kujenga maendeleo ya watu na siyo "mengineyo" kama unavyojinasibu hapa.

Halafu suala la kwamba kugandamizwa kwa uhuru na demokrasia inazuia haki zangu za kufanya maendeleo au laa ni pointless.Nina haki ya kupata uhuru wangu kamili pamoja na demokrasia ninavyotaka ila mradi sivunji sheria halali.Ni haki yangu kuwa na uhuru kamili.Huwezi kugandamiza uhuru wangu kwa kigezo kuwa hainiathiri katika kufanya maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…