wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
[emoji3][emoji3][emoji3]Siku hizi Ubalozi wa Marekani umekuwa kama Bavicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Siku hizi Ubalozi wa Marekani umekuwa kama Bavicha
Uongo .Idadi ya watu marekani sensa ya 2017 walikuwa 326,971,407 wakati mamilionea walikuwa milioni 11 kwa mwaka huo ukitoa hapo utapata watu milioni 321,971,407 hawako kundi la mamilioneaHuu ndio ukweli, nchi tajiri kama U. S sio kwamba hakuna mafukara kule, bali namba ya matajiri ni kubwa kuliko maskini. Hata kwenye nchi maskini Sana,kuna watu matajiri wa kutupa ila huwa wachache. Tanzania nakupenda.
"Mwalimu Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu"...Tundu Lissu.Linapokuja suala la maendeleo, ni Chadema na Mh. Lissu ndio wanaishi falsafa za Mwl. kwa vitendo - HAKI, AMANI, MAENDELEO, UTU, UPENDO, UDUGU!
Bunge fake haliwezi kuwa ni bunge linalowakilisha wananchi.Bunge la Tanzania ni bunge fake kwa sababu wabunge wake hawatokani na mchakato wa kisheria.Bunge la Tanzania ni bunge fake kwa sababu zifuatazo:Sheria za ajabu kwa nini wakati zimepitishwa na Wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi? Pia kumbuka uhuru wako unakoma pale uhuru wa mwenzako unapoanzia! Pia kumbuka uhuru na wajibu hakuna uhuru usio na mipaka. Ndiyo maana hata huko kwenu Chadema mmekubaliana kuwa Mbowe awe Mwenyekiti wa Maisha, pia ACT Wazalendo kuwa Kiongozi Mkuu wa Chama ni Zitto pekee ambaye ni mkuu kuliko Mwenyekiti Maalim Self.
Hivi uelewa wako upoje mtu akiongelea kitu in context ?? Hapo juu umejinasibu kuandika sheria zilizopitishwa " kandamizi" zipo wizara gani? Au tukichukulia kibanadamu Mimi na wewe , je katika shida zetu au matarajio yetu ya siku ,wiki, mwezi, mwaka, miaka n.k mangapi yanauhusiana na chakula, Malazi, elimu, afya, Usafiri, mitaji ndio utakuja kwenye hizo unazo ziita "kandamizi" sasa u have to st up your priorities.Wapi nimezungumzia wizara ya sheria?!Mimi sijazungumzia wizara ya sheria.Nimezungumzia jinsi uhuru pamoja na demokrasia zinavyobanwa chini ya uongozi dhalimu wa Magufuli kupitia sheria za hovyo na za aibu alizosimamia zitungwe.
Wewe ndiye ambae umenipa video ya Nyerere akizungumzia maana ya maendeleo ya watu.Nyerere kwenye video hiyo anasema maendeleo ya watu ni yale yanayoambatana na uhuru pamoja na democrasia ya watu.Sasa unakana tena video ambayo wewe mwenyewe ndiyo umenitumia?
Na kwa vile leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
Sperms I supposeWhat are we donating to the world?
Wasiwe wanawaza kwa kutumia makalio. Kule kwao hivyo vitu havipo?ndege hazipo?train za mwendo kasi hazipo? Sisi tunaenda na vyote kwa pamoja.Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...ukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa
Huyu Nyerere alikuwa ana akili na maono mapana sana. A true genius to be reckoned with.
Kwa hiyo unapingana na maneno ya Nyerere katika video uliyonitumia wakati umekiri mwenyewe kuwa hiyo ndiyo maana halisi ya maendeleo ya watu?Hivi uelewa wako upoje mtu akiongelea kitu in context ?? Hapo juu umejinasibu kuandika sheria zilizopitishwa " kandamizi" zipo wizara gani? Au tukichukulia kibanadamu Mimi na wewe , je katika shida zetu au matarajio yetu ya siku ,wiki, mwezi, mwaka, miaka n.k mangapi yanauhusiana na chakula, Malazi, elimu, afya, Usafiri, mitaji ndio utakuja kwenye hizo unazo ziita "kandamizi" sasa u have to st up your priorities.
Sisi tunaenda na vyote kwa pamoja. Tumeinvest kwa watu na vitu.
Pumbafu!swali gani hilo la kijinga.mmeishiwa hojaUwanja wa ndege wa chato unamsaidia nani?
Kwahiyo maendeleo ya magufuli ya kujijengea makasri chato ndio maendeleo ya watanzania milion sitini?
Si mkalimeMaendeleo ya Madaraja ya Dar wakati huku Mikoani njaa imetalamaki
Ukiona hivyo ujue wamewaelewa BavichaSiku hizi Ubalozi wa Marekani umekuwa kama Bavicha
Kama ni kweli hii ni post ya USA Embassy na wameandika hivyo wakilenga kukosoa juhudi za JPJM kwa kumbeba TAL basi wanasahau kuwa ili watu waendelee lazima uendeleze vitu. USA imeendelea kwa kuendeleza miundombinu yao. Hapa Tanzania tunatumia vitu ili kuendeleza watu na vyote hivi vinaenda sambamba. Tujiulize hivi kweli USA nao wanapinga uendelezaji wa umeme, barabara, maji, hospitali, afya n.k.??? Waseme bayana ili tujue kuwa kweli hawataki tuendelee. Mantiki ya Mwalimu Nyerere ilikuwa kuwa tusijisahau kwa kuendeleza vitu ambavyo havitawaendeleza watu. Kwa mfano sisi Tanzania mwaka huu tungetumia fedha zetu kujenga roketi ya kwenda Jupiter!!! Hilo ndiyo Mwalimu alikuwa analikataa period. Uzuri wake ni kwamba JPJM amejikita katika kuendeleza vitu ambavyo hakika vitawaendeleza watu. Hivi jamani hao akina TAL wakipewa uongozi watatuendelezaje bila kuendeleza vitu, yaani umeme, barabara, maji, miundombinu ya elimu, afya, nk. ????Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu.
Ubalozi huo umeyasisitiza hayo kwa kuweka nukuu ifuatayo:
View attachment 1599440View attachment 1599441
Mungu mbariki Mwalimu Nyerere,Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki USA
PIA SOMA
= > Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa
Naona hatupo kwenye wave length moja, nitajaribu kukueleza tena.Kwa hiyo unapingana na maneno ya Nyerere katika video uliyonitumia wakati umekiri mwenyewe kuwa hiyo ndiyo maana halisi ya maendeleo ya watu?
Naona hatupo kwenye wave length moja, nitajaribu kukueleza tena.
Mwl ameongea vingi lakini cha msingi na kufuatana na uzito wa mambo ni kama itakavyo
1. Ili maendeleo yawe ni maendeleo ya watu basi hayo maendeleo ya mguse mtu.
Kama Barabara, flyover, interchange, maji, shule , afya, n.k
Sasa team pinga pinga mnaelewa mpaka hapo? Na kumgusa ni kwamba inakuwa ni nyezo ya kumuwezesha mtu au watu kujipatia riziki zake au maendeleo kwa ujumla.
Sasa ukisha maliza huko ndio unaangalia hizo criteria zingine kama democracy ingawa hakuwa specific kuhusu chama kimoja au vingi na akatoa mfano wa Drc na vyama 140 je hiyo ni manifestation kuwa drc ni more democratic than Tz au ni vipi??
Na nyongeza yangu kwako base on sheria kandamizi, je zinakwamisha haki zako za kufanya maendeleo??