Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

Kwa kwa kwa kwah kwah kwah ...makofiiiii
 
Watamkana hata Nyerere. Nchi hii imejaa wajinga wanaoshabikia ujinga ulio wazi kabisa.
 
Hayo ni maneno ya Mwalimu au ya US?
 
aliyesema hayo maneno ni Marekani au Nyerere?Weka wazi hayo matusi yaende panapohusika
 
Kuna tatizo kubwa sana katika kuelewa maana ya maendeleo ya watu.. Kawaambie na wengine "maendeleo ya watu ni kufanya maendeleo ya vitu kwa kuzingatia muda na vipaombele bila kuathiri uchumi wa watu au maisha ya watu,, kwa urahisi ni kuiwezesha jamii iwe yenye kujitegemea na kujiweza ili kukuza uchumi wa nchi kufanya maendeleo ya vitu"
 
Acha ulongo
 
Jiwe hapa kapigwa dongo na mpinzani wake anabebwa na kauli hii kwani inaendana na slogan yake.

Watanzania, hapa US wamewasaidia kufanya chaguo sahihi,sasa kazi kwenu.
Kwamba Marekani anaipenda Tanzania kuliko Watanzania wanavyoipenda nchi yao? Hawa wanatafuta mtu dhaifu ili watupige madini na gesi yetu...HATUTAKUBALI.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ila Mwalimu hakuamuru watu watekwe au wauwawe kisa wamekataa kumuabudu na wala hakujenga kiwanja cha ndege Butiama wala kula fedha za rambirambi za wahanga.

Naona hapo ndipo wanapotofautiana na huyu bwana anayelazimisha watu wamsujudu.
 
Unateka watu,unawaua watu,unawadhulumu watu haki zao ili kujenga miundo mbinu hayo ni upumbavu mtupu.
Hata ununue ndege 1000 flyover 50,000 ukaua watu 5,000 hayo si maendeleo
Ukihitajika kuleta ushaihidi wa hizo tuhuma zako upo tayari au unabwawaja tu kwa vile una uhuru wa kuongea ambao mnadai haupo?
 
Kwamba Marekani anaipenda Tanzania kuliko Watanzania wanavyoipenda nchi yao? Hawa wanatafuta mtu dhaifu ili watupige madini na gesi yetu...HATUTAKUBALI.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
All they want is a puppet leader who is easy for them to manipulate for their own benefit! MY FELLOW PATRIOTIC TANZANIANS PLEASE STAND FIRM FOR YOUR COUNTRY FOR THE BENEFIT OF YOURSELVES AND YOUR CHILDREN. VOTE FOR JOHN POMBE MAGUFULI - A PATRIOTIC LEADER!
 
Sisi vijana wa zamani Mwl alishatuonya kuwa ukiona mzungu (insert "beberu") anakusifu jiulize mara mbili. Ukiona anawashwawashwa ujue umemdungua mshale wa matako..
Wanakasirika kwa sababu walishazoea huko miaka ya nyuma kuona kila kitu tunakopa kwenye benki zao (World Bank, IMF) na katika nchi zao ili kutekeleza miradi yetu. Sasa wanaona huyu jamaa (JPM) hana mpango nao na pia makampuni yao hasa ya madini ameyataiti kwenye mikataba kwa ajili ya manufaa ya nchi. Hivyo hawawezi kumpenda hata kidogo. Furaha ya mzungu kwa muafrika ni kuona mwafrika yupo chini kila kitu. PERIOD!
 
Si kweli mawazo mfu
 
Kuna hekima aliiyoa kiongozi Fulani kwamba; " Ukiona Nchi Maskini, jua Wananchi wake ndio maskini. Na ukiona Nchi tajiri, juwa wananchi wake ni tajiri."
Umasikini na utajiri utengenezwa na kiongozi aliyepo
 
Kwa hiyo unasubiri mzungu ndiye akuletee maendeleo ya nchi yako huku wewe umetundika tu makalio kwenye sofa?
Sera mbovu maendeleo yatoke wapi hata uwe unakesha ukifanya Kazi.Sera zetu mbovu ndo zimeleta umasikini.Wametawala afrika miaka michache kuliko miaka ambayo mwafrika amejitawala lkn walileta maendeleo makubwa Sana afrika elimu, afya Bora, ajira tele, kilimo bora, viwanda, miundombinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…