Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kusafiri kwenda Mtwara

Kutoa tahadhari na kutokea hatare ni mambo mawili tofauti

Hii Nchi ipo chini ya Ulinzi wa Mwenyezimungu, hakuna kiumbe wa kututisha

Walishatoa tahadhari Raia wao waondoke na walio nje wasije kwa kuwa sie tumeshatapakaa Corona, sasa hao wanaowatahadharisha ni wepi waliobaki?
Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.
 
Mi niko Mtwara mbona niko poa na watu kibao wanaendelea na mishe zao Kama kawa! Acha kuwasikiliza Mabeberu,au humwamini Kamanda Siro!? Wwe unamwamini Balozi wa USA kisa una ndoto za kwenda kuishi huko Marekani!!
Lack of information

Maisha ni kuwa na habari na taarifa kamili kwa wakati

Kama huna taarifa kaa kimya

Kama una taarifa isiyokamili lala
 
Wao walituma ndege kuchukua watu wao kwa sababu ya Covid, mara washarudi Bongo?

By the way, washahamia Dodoma hawa maafisa?
 
Lack of information

Maisha ni kuwa na habari na taarifa kamili kwa wakati

Kama huna taarifa kaa kimya

Kama una taarifa isiyokamili lala
Acha ushabiki wa kipuuzi..! Watu tumeishi Mtwara na tunandugu zetu huko Mtwara kibao tu.
Inshort hakuna chochote kinachoendelea tokea tukio lile la kwanza kule Nanyamba hawajawah kurudi ao magaidi.
 
Pia mwenye kufikira, atatambua kwanini Lissu alikatazwa kampeni sehemu hizo na lihelkopta alilokodi!
 
Vyombo vyao vya ujasusi vinaangalia na kufanya kazi dunia nzima, tofauti na nchi kama zetu ambazo usalama wa taifa unaangalia ndani ya nchi.
 
Unaendeleza mkurupuko, Mimi siyo mwenye thread mkuu.
JF huwa inanipa furaha sana haiwezi kupita Siku bila kuingia humu jamvini.

Eti mkurupuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?

Hapo nao wanaanza kukwama.
Wewe jamaa kweli kichwa CCM, wako hapa kwa maslahi ya Taifa lao na wananchi wake, hiyo tahadhali ni kwa wananchi wa Marekani wewe inakuhusu nini?

Sijui watu wengine huwa mnatoka wapi, ningekuwa moderator ningekupiga ban ya milele.
 
Mi niko Mtwara mbona niko poa na watu kibao wanaendelea na mishe zao Kama kawa! Acha kuwasikiliza Mabeberu,au humwamini Kamanda Siro!? Wwe unamwamini Balozi wa USA kisa una ndoto za kwenda kuishi huko Marekani!!
Mkuu umelisoma tangazo kweli? Hajakwambia wewe Mataga, ni tahadhali kwa raia wa Marekani so wewe endelea na mishe zako
 
Au kuna wahuni wa capo delgado wanavinjari huko?
 
Unasahau kuwa hao marecakani ni wafadhili wa maghaidi hao ili waibe gesi yetu na mafuta yetu.Hivi hawawezi kufungiwa ubalozi ili nchi iwe salama?
 
Hata ukiambiwa utafanyaje sasa?
Inawezekana hata mtwara hupajui huku unataka upewe habali za huko.
 
Unasahau kuwa hao marecakani ni wafadhili wa maghaidi hao ili waibe gesi yetu na mafuta yetu.Hivi hawawezi kufungiwa ubalozi ili nchi iwe salama?
Wamesikia magufuli anasema na kiwanda cha LNG cha gesi kitajenngwa mtwara wameanza kutukwamisha,
Wana anza kupandikiza magaidi wao huko.
 
Huku wakitutisha kwenye mabaa kwamba una jeuri ukija ubalozini na shida zako sikusaidii.
 
Hiki ndicho tunakataa watanzania. Mtwara, Lindi, Muleba, Kigoma, Tanga, Tabora, Singida, Kondoa, na baadhi ya wilaya na mikoa iliyoshamiri Uislam, tafadhali wananchi wa huko rudini shule. HAKUNA Mungu anaruhusu watoto wake wauane kwani ni dhambi iliyokatazwa na yeye mwenyewe. Mnadanganyika na nini? Jamani, shule muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…