Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kuuwa watu sio tabia mbaya au kuamuru mtu auwawe sio tabia mbaya, kupakazia watu vyesi sio tabia mbaya au kudhulumu watu mali zao sio tabia mbaya.

Acheni unafiki bwana, Magufuli alikuwa rais wa hovyo kuwahi kupatikanakatika nchi hii. Bure kabisa.
Mimi sio mwanasiasa mkuu
 
Kigogo2014 ni mdaku tu kama hao Wakenya hawezi kuwa na classified documents za taifa kubwa la Tanzania.
 
Mkuu,Kisa tu habari ya udaku ambayo ni mtu kaonesha sanaa ya kutunga simulizi?Tutaua vipaji.Tuache udaku ubaki kuwa udaku.Tutafute tu namna ya kuwezesha watu kujua kuwa ni udaku.
Mkuu, ninaomba nikuache tu kama ulivyo.
 
Mbona mamlaka husika walifungia Ze Utamu enzi za mstaafu Kikwete?
 
Hayo ni mambo ya kawaida katika jamii hakuna anayeweza kuyakwepa na kama angetaka asisemwe basi asingezini naye. That's it.
Hauna uthibitisho wowote wa yeye kuzini mkuu. Acha kumdhalilisha Rais wa nchi
 
mmh nani hajawahi kusingiziwa? mbona ni common?

haujawahi kusikia baba mzazi wa Freeman Mbowe ni Nyerere?
Hii nimeisikia sana lakini sijawahi kuona imekuwa published kwenye mainstream media.
 
sasa ndugu yangu na wewe umeamua kuianika habari kama ilivyo? ilitosha tu kutuambia kuna gazeti huko kenya limeandika so and so juu ya dr. magufuli.
Ulitaka nilete malalamiko yangu pasipo kuwa na ushahidi wowote mkuu?
 
wakuu hii isitupe shida wanawake wa kenya wana hii tabia sana tu ,hata kule kenya mtu maarufu akifa wanakuja wanawake kama wote, kila moja akidai amezaa na marehemu ili tu wapate mgao wa uridhi ,wambieni wamekosea njia hapa hatutoi hela ngo"
Hakika JPM alikuwa ni chuma
 
The family can sue hiyo media, maana ni deformation....
Tena ni defamation kubwa sana mkuu. Ninashangaa watu wanatetea upuuzi kama huu na TCRA wanagoma kuufungia mtandao wa kijinga wa Kenya.
 
Walifungiwa kisa katuni ya Gado ikimuonyesha Kikwete yuko kitandani na wanawake symbolising rushwa, uzembe etc. Serikali ya TZ walimind kinoma
Daaah aisee kumbe hawa jamaa wana historia ya kudhalilisha viongozi wetu miaka nenda rudi. Unaona sasa.
 
Unataka kusema Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete ilikua kitu isiyo na matunda?
Enzi za Mzee Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hapakuwa na mitandao ya kijamii yenye nguvu kama sasa. Unakumbuka sakata la Ze Utamu wakati wa uongozi wa Rais Kikwete?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…