Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Mbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Ni kwa sababu hapakuwapo na jamii forums na utandawazi kama sasa mwanangu. Hata hivyo, walikuwa wakituita maskini yaani a society of eat nothing people ndipo Nyerere akawaambia the country of man eat man. Kumbuka kama umri wako unakuruhusu mwanangu. Huu upuuzi ulianza hata kabla ya uhuru ila hapakuwapo na media ya kuusambaza kama sasa.
 
Wakenya ni wapumbavu sana
 
Unaona sasa. Kumbe bado dogo. Ze Utamu ilikuwa ni website ya kudhalilisha viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania. Fungua JF link hapo chini usome.

Ze Utamu JF>>> Search results for query: ze utamu
Anyway,kudhallisha ni kufanyaje?Udaku utabaki kuwa udaku na ni sehemu ya news industry kwani so kila habari inaweza thibitushwa.Ze utamu tuiache huko nyuma
 
Hili ni jambo la kawaida sana, binadamu ni binadamu tu hakuna cha rais wala mswaga ng'ombe, sasa angesemwa Trump au Biden kwani mngeona ajabu si mngeona ni kawaida tu.

Kwani Magufuli ni nani mbona amekufa tu kama wengine. Hata hapa tu ilisemekana kwamba ana mahusiano na waziri wake moja tena mke wa mtu.

Hayo ni mambo ya kawaida katika jamii hakuna anayeweza kuyakwepa na kama angetaka asisemwe basi asingezini naye. That's it.
 
DNA si ipo, kama mzee alikula mzigo na akatunga mimba wala si dhambi - dhambi itakuwa kwa wana familia kama wakiigomea damu yao.
 
Anyway,kudhallisha ni kufanyaje?Udaku utabaki kuwa udaku na ni sehemu ya news industry kwani so kila habari inaweza thibitushwa.
Udaku wenye lengo la kuchafua taswira ya viongozi si sahihi. Sasa hapa kazi ni ya TCRA kuifungia hiyo domain...
 
Udaku wenye lengo la kuchafua taswira ya viongozi si sahihi. Sasa hapa kazi ni ya TCRA kuifungia hiyo domain...
Mkuu,Kisa tu habari ya udaku ambayo ni mtu kaonesha sanaa ya kutunga simulizi?Tutaua vipaji.Tuache udaku ubaki kuwa udaku.Tutafute tu namna ya kuwezesha watu kujua kuwa ni udaku.
 
Mkuu,udhalilishaji ni nn?Mdhalilishaji ni nani?Nafikiri ni hekima zaidi iwapo tutaacha udaku ubaki kuwa udaku kwa ajili ya wadaku.
Mkuu, mbona @Kigogo2014 anasambaza udaku na Polisi wanamtafuta? Kama udaku ni suala la kawaida basi Polisi waache kumtafuta kigogo.
 
Mkuu,Kisa tu habari ya udaku ambayo ni mtu kaonesha sanaa ya kutunga simulizi?
Mkuu, suala sio udaku tu, issue ni kuwa "it goes viral over the internet". Udaku ukiongelewa vijiweni kama zama zile za Utawala wa Mzee Mkapa mwaka 1996 sio mbaya kwa maana likisambaa sana litaishia upana wa kata ama tarafa tu baaas, ila katika zama hizi za internet ambapo dunia ni kama kijiji, ni lazima tuwe makini sana na mitandao ya wapuuzi kama hii.

Tanzania ni taifa kubwa.
 
DNA si ipo, kama mzee alikula mzigo na akatunga mimba wala si dhambi - dhambi itakuwa kwa wana familia kama wakiigomea damu yao.
Mzee John P Magufuli hajawahi kabisa kuchepuka. Alikuwa anajiheshimu sana yule baba.
 
Mbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Na alisisitiza "fyatueni watoto nitawasomesha bure"

All in all imekuwa ikisemwa sana humu kuwa "na yeye alikuwa binadamu hangeweza kukosa mapungufu," mapungufu yenyewe si kama haya? tunayasikiliza, tunasamehe, yanakwisha maisha yanaendelea
 
Mzee John P Magufuli hajawahi kabisa kuchepuka.
 
Mkuu, mbona @Kigogo2014 anasambaza udaku na Polisi wanamtafuta? Kama udaku ni suala la kawaida basi Polisi waache kumtafuta kigogo.
Kigogo anavujisha classified information.Kusema kuwa Kiongozi fulani ana uhusiano na binti fulani ni masuala ya kimbea na udaku ambayo kimsingi yule ambaye anaona ana haki ya kudai fidia anadai fidia ili sio nkufungia media kwa sababu ya udaku.Habari za udaku zina nafasi yake katika jamii ilio staarabika
 
Sio la kawaida kwa maana JPM hajawahi kuwa na tabia chafu...
Kuuwa watu sio tabia mbaya au kuamuru mtu auwawe sio tabia mbaya, kupakazia watu vyesi sio tabia mbaya au kudhulumu watu mali zao sio tabia mbaya.

Acheni unafiki bwana, Magufuli alikuwa rais wa hovyo kuwahi kupatikanakatika nchi hii. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom