Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Wanaweza. Ila ukizuia ndio unazidi kuipa promotion hiyo website..watu wataingia VPN ili kuitazama. Ni kama BASATA wakizuia wimbo..watu ndio wanapata hamasa ya kuusikiliza na wanaupata youtube kirahisi.
Ni bora wahangaike kudownload VPN ili kupata blocked access kuliko kuusoma mtandao wa kipuuzi kama huu "freely" kwenye browsers. Ze Utamu ilifungiwa wakati wa JK.
 
wakuu hii isitupe shida wanawake wa kenya wana hii tabia sana tu ,hata kule kenya mtu maarufu akifa wanakuja wanawake kama wote, kila moja akidai amezaa na marehemu ili tu wapate mgao wa uridhi ,wambieni wamekosea njia hapa hatutoi hela ngo"
🤣🤣🤣🤣🤣Umesoma habari ukaelewa? Au ndiyo hizi elimu za kuunga-unga-unga-unga-unga-unga-unga-unga-unga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mwendazake alikuwa hana aibu kwenye kufungua zipu vile vile! Kwani mbona huyo anafanana na jokate! sitatetea ujinga na umalaya!
 
Kunya land wanasumbuliwa na njaa tu, wasikuumize kichwa.....sasa hivi wataanza kutafuta mahindi yenye sumu waliyokataa awali, muda utaongea...
Kuna siku tutawapiga hao rafiki zetu kwa maana hawana upendo wa dhati na sisi. St,upid Kenya.
 
Mleta mada ni miongoni mwa wanaoeneza hiyo Ishu yenye mwonekano wa kumdhalilisha Hayati Rais wa awamu ya tano .
Kuleta humu hiyo taarifa na mpaka kipande cha hilo gazeti ni kueneza hiyo taarifa.

Any way Ukiwa kiongozi basi tegemea kumulikwa kila kona.
Ni vyema ukajiepusha na mambo ambayo hutataka yawekwe hadharani kwa kuogopa kudhalilika.
Kama utaona ni mambo ya kawaida basi hata kuyatangaza ni kawaida.

Nadhani kama ni uongo basi Marehemu atakua amedhalilishwa lakini kama ni kweli yalifanyika basi ni sawa na sio suala la kumdhalilisha.

Kama aliona ni jambo la kumdhalilisha basi asingelifanya.

Waafrika ni watu wa ajabu sana .
Unakuta kiongozi anaiba mali za umma au anafanya ufisadi halafu akitajwa anakuwa mkali na kutoa vitisho bila kujua kuwa kama hapendi kusemwa basi aache.
 
Mleta mada ni miongoni mwa wanaoeneza hiyo Ishu yenye mwonekano wa kumdhalilisha Hayati Rais wa awamu ya tano .
Kuleta humu hiyo taarifa na mpaka kipande cha hilo gazeti ni kueneza hiyo taarifa.
Udhalilishaji wanaoufanya Wakenya kwa Magufuli kwa kutumia "cover" websites ulitaka nisiotolee taarifa kwa mamlaka husika?...
 
Any way Ukiwa kiongozi basi tegemea kumulikwa kila kona.
Ni vyema ukajiepusha na mambo ambayo hutataka yawekwe hadharani kwa kuogopa kudhalilika.
Kama utaona ni mambo ya kawaida basi hata kuyatangaza ni kawaida.
Wanawekaje hadharani jambo ambalo halina ushahidi wa kutosha. Hizo websites za kipuuzi kwanini zinapatikana Tanzania? TCRA wafungie wajinga hawa.
 
Back
Top Bottom