Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Wanajiona wao ndio bora EAC yoooteKwanini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajiona wao ndio bora EAC yoooteKwanini mkuu?
Ni bora wahangaike kudownload VPN ili kupata blocked access kuliko kuusoma mtandao wa kipuuzi kama huu "freely" kwenye browsers. Ze Utamu ilifungiwa wakati wa JK.Wanaweza. Ila ukizuia ndio unazidi kuipa promotion hiyo website..watu wataingia VPN ili kuitazama. Ni kama BASATA wakizuia wimbo..watu ndio wanapata hamasa ya kuusikiliza na wanaupata youtube kirahisi.
🤣🤣🤣🤣🤣Umesoma habari ukaelewa? Au ndiyo hizi elimu za kuunga-unga-unga-unga-unga-unga-unga-unga-unga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣wakuu hii isitupe shida wanawake wa kenya wana hii tabia sana tu ,hata kule kenya mtu maarufu akifa wanakuja wanawake kama wote, kila moja akidai amezaa na marehemu ili tu wapate mgao wa uridhi ,wambieni wamekosea njia hapa hatutoi hela ngo"
Huu ndio upuuzi wa siasa za kufuata mkumbo. Akili za kupewa changanya na zako ndugu.Odinga akapata uwaziri mkuu anatunzwa mpaka kufa ila ndugu wa marehemu wanaishi kwa taabu na dhiki kuu
Akili za vijana wa chadema wanachanganya na m.a.v.i sijuiHuu ndio upuuzi wa siasa za kufuata mkumbo. Akili za kupewa changanya na zako ndugu.
Any concrete evidence please?Mwendazake alikuwa hana aibu kwenye kufungua zipu vile vile! Kwani mbona huyo anafanana na jokate! sitatetea ujinga na umalaya!
Ngoja tuwasamehe tu kwa sasaKunya land wanasumbuliwa na njaa tu, wasikuumize kichwa.....sasa hivi wataanza kutafuta mahindi yenye sumu waliyokataa awali, muda utaongea...
Tanzania iliwakomboa Waganda ila Kenya ilishindwa kufanya hivyo.Ngoja tuwasamehe tu kwa sasa
Kuna siku tutawapiga hao rafiki zetu kwa maana hawana upendo wa dhati na sisi. St,upid Kenya.Kunya land wanasumbuliwa na njaa tu, wasikuumize kichwa.....sasa hivi wataanza kutafuta mahindi yenye sumu waliyokataa awali, muda utaongea...
Rafiki wa uhakika kwa Tanzania ni Uganda alafu ndio KenyaKuna siku tutawapiga hao rafiki zetu kwa maana hawana upendo wa dhati na sisi. St,upid Kenya.
Uganda walitupa dili la mafuta kutoka kwao mpaka Tanga.Rafiki wa uhakika kwa Tanzania ni Uganda alafu ndio Kenya
Udhalilishaji wanaoufanya Wakenya kwa Magufuli kwa kutumia "cover" websites ulitaka nisiotolee taarifa kwa mamlaka husika?...Mleta mada ni miongoni mwa wanaoeneza hiyo Ishu yenye mwonekano wa kumdhalilisha Hayati Rais wa awamu ya tano .
Kuleta humu hiyo taarifa na mpaka kipande cha hilo gazeti ni kueneza hiyo taarifa.
Wanawekaje hadharani jambo ambalo halina ushahidi wa kutosha. Hizo websites za kipuuzi kwanini zinapatikana Tanzania? TCRA wafungie wajinga hawa.Any way Ukiwa kiongozi basi tegemea kumulikwa kila kona.
Ni vyema ukajiepusha na mambo ambayo hutataka yawekwe hadharani kwa kuogopa kudhalilika.
Kama utaona ni mambo ya kawaida basi hata kuyatangaza ni kawaida.
JPM amedhalilishwa sana aiseeNadhani kama ni uongo basi Marehemu atakua amedhalilishwa
Kama hakuna ushahidi ni lazima tu atakuwa mkali kwa maana jina lake linachafuliwa bila sababu za msingi.Waafrika ni watu wa ajabu sana .
Unakuta kiongozi anaiba mali za umma au anafanya ufisadi halafu akitajwa anakuwa mkali