Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Yeah, that's why he too can be corrected if he's not on the right path. Huyu jamaa anaona eti ni kukosea heshima wenye mamlaka, wakati hajui kama wao wangelifanya kazi yao tuliyowatuma serikalini, we couldn't be having those chit chats about them!
Nyie hamna adabu
 
Respect is earned kiongozi! People will remember for you for the good and bad, pain and joy you brought in their respective lives. To be clear ni kwamba you will reap what you saw. Period
 
Hahaaa hao jamaa wanawatoa jasho wakenya sasa wameshindwa kudeal na hao wameona wahamie nchi jirani kuchafua viongozi wetu
 
Think twaes
IMG-20210423-WA0004.jpg
 
Uko sawa kabisa. Wivu wa wakenya mbaya sana tulikuwa tuna paa sasa tumesimama tunajipanga upywa eeh Mungu tusaidie.
 
Kwenye mfumo wa kidemokrasia, kumchafua rais kunaruhusiwa na freedom of speech na hakuna matatizo yoyote yanayotokea. Kwenye mfumo wa kidikteta, kumchafua rais ni kumshushia hadhi na kumpa udhaifu ambayo ni sawa na kuipa nchi udhaifu.
 
Back
Top Bottom