Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Vyombo vya habari vikitaka kuhataisha usalama wa nchi ni lazima vithibitiwe ndugu yangu. Mamlaka za Tanzania ninawaomba wafungie huu mtandao mara moja.
 
I do not visit that blog due to the reasons above. Vile umeagazia hio story hapa, umewaongezea mapato yao maradafu iwapo wabongo wenzako wataflood kwenye hio page.
That page/blog will soon be blocked. Tanzania sio nchi ya kuchafuana kwa umbea umbea wa kipuuzi kama huo. Sisi ni taifa kubwa.
 
Hii site ulifungwa na serikali around 2012. Then mwenyewe akaifungua using another domain from abroad, must be the USA. Serikali ya Kenya haiwezi kufunga websites outside their jurisdiction.

Hope umenipata.
All domains that are used for transmitting false information to the public are subject to restrictions. Tanzania sio nchi ya kuandika mambo ya uongo bila kuwa na ushahidi wa kutosha.
 
Kenya ni tofauti sana na wengine katika EAC ambao wengi wao ni madikteta.
Wadhalilishane wao kwa wao huko huko Kenya na sio kuvuka mipaka na kuingilia viongozi wa taifa kubwa la Tanzania.
 
Huyo jamaa anajifanya amesahau mikasa ya kuchafua viongozi wetu wakati wa utawala wa awamu ya nne (4). Wazandiki ni lazima washughulikiwe.

Ndio maana nikampuuza baada ya kuona majibu yake,hata Mwalimu Nyerere mpaka kesho kuna baadhi ya watu wanamtukana kutokana na sababu tofauti tofauti!!!
 
Nani amekupa mamlaka ya kuzungumza kwa niaba ya Watanzania wote wewe unayejiita dereva wa taxi bubu?
Ukiwa mzalendo "automatically" unapata mamlaka ya kuzungumzia watanzania wote.
 
Being humiliated (as a Kenyan) on social media happens daily on social media. Look at our Twitter space. Take not am not talking about matusi. No. Just opinions (tough words) here and there. Hata Rais ni human, sio special.
Rais hapaswi kutukanwa hata siku moja. Huyu ndiye Raia number moja na anastahili heshima "to the fullest"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…