Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
OK,thanks you for let me knowing that@#$%&...!Hayati Rais John Magufuli alikuwa anamheshimu sana mke wake na kamwe asingeweza kufanya uchafu huu. Wanamsingizia hawa Wakenya.
PoaOK,thanks you for let me knowing that@#$%&...!
Fvck all Kenyanssasa shida hapa ni nini? sioni shida yoyote kwani kuwa au endapo alikuwa na mama wa kikikuyu ni dhambi?
Kuna siku tutaipiga Kenya kama tulivyowafanya Waganda.Waacheni wenzetu wana uhuru wa vyombo vya hbr sisi vya kwetu vimewekwa mfukon
Punguza kujifanya much know mshamba wa Marangu weweBlah blah...ile dhihaka ndio ilikua "legacy" ya kikwete?
Unajua maana ya Legacy?
Post-presidency Kikwete ana A japo hata hajafa.....
Magufuli ana F japo kashafariki of which people tend to sympathize na the deceased
Use your brain nigga
Inawezekana hata huo mtandao unamilikiwa na serikali ya Kenya kwa siri.Watu wanapigana vita ilioisha kitambo.
Inawezekana hiyo website inamilikiwa na CIA ya Kenyayaani ubalozi wetu upoteze muda kwa kitu cha kitoto kama icho? utani tu unataka tuharibiane hadi ushirikano wa kimataifa kwa utani wa kabinti kadogo tu? acha ujinga.
CIA ya Tanzania pia inaweza kufanya ushenzi kama huu. Wakenya wasifanye masihara na sisi.Inawezekana hiyo website inamilikiwa na CIA ya Kenya
Fanyeni "Cyberbullying" kwa viongozi wenu huko Kenya mkifanya kwa viongozi wetu tutafungia hizo websites kwa kutumia TCRA na hazitaonekana huku Tanzania.Being humiliated (as a Kenyan) on social media happens daily on social media. Look at our Twitter space. Take not am not talking about matusi. No. Just opinions (tough words) here and there. Hata Rais ni human, sio special.
John Magufuli alikuwa ni Rais, baba pamoja na mume aliye mtiifu kwa wanawe, mkewe pamoja na Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na kamwe asingweza kufanya kitendo hiki cha kuidhalilisha ndoa yake pamoja na taifa letu.Kisukuma hakuna tatizo, kawaida sana, vidume kutapanya mbegu na kuongeza uzao.
Relax, chill!
Tunachotaka sisi ni kuwa wajue tuna msimamo mkali linapokuja suala la kulinda taswira njema ya taifa pamoja na viongozi wetu waandamizi. Leo kadhalilishwa hayati Magufuli, kesho wataanza na Rais mama Samia.Unafikiria ubalozi utafanya nini ukiachia kukanusha na kutishi kwenda na mahakamani na kufanya hivyo ni kuziongezea media sababu ya militants hilo jambo.
Huyu ni Rais wa awamu ya tano Mh. JP Magufuli
Wakenya wapo obsessed sana na sisi wakati Tanzanians hawana muda nao.wamfanye huyo mtoto awe rais wao si walitamani sana Mh, DR Magufuli awe rais wao,.
Tanzania itafungia medias zote za Kenya zitakazodhalilisha viongozi wetu. Sisi ni taifa kubwa.Mwambie pale anapoingia website naku accept cookies ndio info inayochukuliwa anapotumia hiyo site husika.
Kwa hiyo unasifia matusi ya kwenye mitandao (Cyberbullying)? Are you serious?Kule kuna wenyewe, kama huna moyo utakufa bure, ndo maana akasema ameshindwa na mambo ya kule. Hakuekwi mtu kule, uwe mkubwa, uwe mdogo, mwenye hela, fukara... ukileta za ovyo kwa jamii, unakula kibiti hadi unyooke.
Kenya ni nchi ya hovyo sanaIyo ni nchi ya mazezeta matahira sasa ukibishana na tahira ipo kazi kidogo
Kosoa lakini acha kutukana. Kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na Tanzania kwa ujumla.Yeah, that's why he too can be corrected if he's not on the right path. Huyu jamaa anaona eti ni kukosea heshima wenye mamlaka, wakati hajui kama wao wangelifanya kazi yao tuliyowatuma serikalini, we wouldn't be having those chit chats about them!
Njoo CCM weweNaona umeanzisha ID mpya nyingine maalumu kwaajili ya kutukania watu 🤣🤣🤣🤣
Utaabika muda si mrefu. Asshole!