Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Blah blah...ile dhihaka ndio ilikua "legacy" ya kikwete?

Unajua maana ya Legacy?

Post-presidency Kikwete ana A japo hata hajafa.....

Magufuli ana F japo kashafariki of which people tend to sympathize na the deceased

Use your brain nigga
Punguza kujifanya much know mshamba wa Marangu wewe
 
Mtoa mada angepeleka shauri mahakama ya Africa Mashariki and mahakama ya Africa aache kilialia chukua hatua. Jamii forum sio mahakama.
 
Being humiliated (as a Kenyan) on social media happens daily on social media. Look at our Twitter space. Take not am not talking about matusi. No. Just opinions (tough words) here and there. Hata Rais ni human, sio special.
Fanyeni "Cyberbullying" kwa viongozi wenu huko Kenya mkifanya kwa viongozi wetu tutafungia hizo websites kwa kutumia TCRA na hazitaonekana huku Tanzania.
 
Kisukuma hakuna tatizo, kawaida sana, vidume kutapanya mbegu na kuongeza uzao.
Relax, chill!
John Magufuli alikuwa ni Rais, baba pamoja na mume aliye mtiifu kwa wanawe, mkewe pamoja na Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na kamwe asingweza kufanya kitendo hiki cha kuidhalilisha ndoa yake pamoja na taifa letu.
 
Unafikiria ubalozi utafanya nini ukiachia kukanusha na kutishi kwenda na mahakamani na kufanya hivyo ni kuziongezea media sababu ya militants hilo jambo.
Tunachotaka sisi ni kuwa wajue tuna msimamo mkali linapokuja suala la kulinda taswira njema ya taifa pamoja na viongozi wetu waandamizi. Leo kadhalilishwa hayati Magufuli, kesho wataanza na Rais mama Samia.

Vile vile TCRA wapo na wanaweza kuufungia mtandao huo.
 
Kule kuna wenyewe, kama huna moyo utakufa bure, ndo maana akasema ameshindwa na mambo ya kule. Hakuekwi mtu kule, uwe mkubwa, uwe mdogo, mwenye hela, fukara... ukileta za ovyo kwa jamii, unakula kibiti hadi unyooke.
Kwa hiyo unasifia matusi ya kwenye mitandao (Cyberbullying)? Are you serious?
 
Yeah, that's why he too can be corrected if he's not on the right path. Huyu jamaa anaona eti ni kukosea heshima wenye mamlaka, wakati hajui kama wao wangelifanya kazi yao tuliyowatuma serikalini, we wouldn't be having those chit chats about them!
Kosoa lakini acha kutukana. Kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na Tanzania kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom