Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Lazima utashambuliwaMti wenye matunda
Wewe ndio mzinzi na sio Rais MagufuliUzinzi mtamu gharama zake ndio hizo
Imedhalilishwa ofisi ya RaisMkapa amewahi dhalilishwa??
Amedhalilishwa Mwendazake sio nchi
Eti "vijarida". Mkuu you must be a good diplomat inawezekanaNi vijarida hivi.... Hakuna hata moja from a reputable news house
Soma Nairobi Times uone wanavyoji-define
View attachment 1771872
Tanzania inataka undugu wenye manufaa na Kenya na sio vinginevyoKwa nini tuache, kama tukiwawahi sawa, tunafunga kila kitu, lakini kama ni mfano wa wale jamaa wa Russia, my friend hata serikali za ughaibuni wanatokwa kijasho pale, sembuse serikali zetu za third world?
Ukichafua taswira njema ya Rais ni sawa na kuichafua Tanzania. Kaa kimya wewe.Unajifanya unamjua sana MEKO kuliko Mkewe MamaJESKA? kwenye udhaifu hili muachie mwenyewe mwendazake na familia yake ndo inajua.
Shida ni ile ile... the internet will always win. It's meaningless to fight it.Eti "vijarida". Mkuu you must be a good diplomat inawezekana
asante MUKE mudogo ya MWENDAzakeUkichafua taswira njema ya Rais ni sawa na kuichafua Tanzania. Kaa kimya wewe.
Asante sana kwa kunitukana bossasante MUKE mudogo ya MWENDAzake
Mkuu, we are not fighting the internet. We're rather fighting the irresponsible/reluctant authorities in Kenya. Tanzania ni taifa kubwa ujue.Shida ni ile ile... the internet will always win. It's meaningless to fight it.
If it was that easy, mbona Kigogo anatukana kila siku na sisi Taifa kubwa tumemshindwa? Again, Wakenya wana one of the most progressive constitution in Africa, sioni ni namna gani Kenyan authorities wanaweza kufanya chochote.Mkuu, we are not fighting the internet. We're rather fighting the irresponsible/reluctant authorities in Kenya. Tanzania ni taifa kubwa ujue.
Kigogo siku zake zinahesabika. Mark my words. Kigogo anatumia mitandao inayokuwa hosted nje ya Afrika lakini Kenya wanaidhalilisha Tanzania kwa mitandao inayomilikiwa na vijana wao.If it was that easy, mbona Kigogo anatukana kila siku na sisi Taifa kubwa tumemshindwa?
TCRA soon wataifungia mitandao yote inayodhalilisha Tanzania na itasamehewa baada ya kuandika barua ya kuomba radhi na kufikisha katika ubalozi wetu pale Nairobi.Wakenya wana one of the most progressive constitution in Africa, sioni ni namna gani Kenyan authorities wanaweza kufanya chochote.
Umeoa Kenya nini wee jamaa?If it was that easy, mbona Kigogo anatukana kila siku na sisi Taifa kubwa tumemshindwa? Again, Wakenya wana one of the most progressive constitution in Africa, sioni ni namna gani Kenyan authorities wanaweza kufanya chochote.
Ndio boss
Hata mimi sipendi Rais wetu atukanwe hata kama anatoka CCM. My point ni kwamba tunachotaka sio rahisi kukipata, kwa sababu hivyo "vijarida" sio rasmi. Media house ziko makini, haziwezi kuandika upupu. Citizen TV walizamika kuomba radhi baada ya kuandika "Ukaidi wa Magufuli", kwa sababu ni serious people. Hawa wajinga mkiwajadili ndio wanapata mileage.TCRA soon wataifungia mitandao yote inayodhalilisha Tanzania na itasamehewa baada ya kuandika barua ya kuomba radhi na kufikisha katika ubalozi wetu pale Nairobi.
Mkuu suala la nchi halina chama ujue. Tanzania ni mali ya wote CCM na wasio CCM.
Mke wangu wa pili anatoka Mombasa....Umeoa Kenya nini wee jamaa?
Unaweza kuviita kuwa ni "vijarida" lakini hauwezi kujua "who" is behind those evil projects. Governments all around the world have "shadow communities" and I think you know all about this.Hata mimi sipendi Rais wetu atukanwe hata kama anatoka CCM. My point ni kwamba tunachotaka sio rahisi kukipata, kwa sababu hivyo "vijarida" sio rasmi.