Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kwa nini tuache, kama tukiwawahi sawa, tunafunga kila kitu, lakini kama ni mfano wa wale jamaa wa Russia, my friend hata serikali za ughaibuni wanatokwa kijasho pale, sembuse serikali zetu za third world?
Tanzania inataka undugu wenye manufaa na Kenya na sio vinginevyo
 
Unajifanya unamjua sana MEKO kuliko Mkewe MamaJESKA? kwenye udhaifu hili muachie mwenyewe mwendazake na familia yake ndo inajua.
 
Unajifanya unamjua sana MEKO kuliko Mkewe MamaJESKA? kwenye udhaifu hili muachie mwenyewe mwendazake na familia yake ndo inajua.
Ukichafua taswira njema ya Rais ni sawa na kuichafua Tanzania. Kaa kimya wewe.
 
Shida ni ile ile... the internet will always win. It's meaningless to fight it.
Mkuu, we are not fighting the internet. We're rather fighting the irresponsible/reluctant authorities in Kenya. Tanzania ni taifa kubwa ujue.
 
Mkuu, we are not fighting the internet. We're rather fighting the irresponsible/reluctant authorities in Kenya. Tanzania ni taifa kubwa ujue.
If it was that easy, mbona Kigogo anatukana kila siku na sisi Taifa kubwa tumemshindwa? Again, Wakenya wana one of the most progressive constitution in Africa, sioni ni namna gani Kenyan authorities wanaweza kufanya chochote.
 
If it was that easy, mbona Kigogo anatukana kila siku na sisi Taifa kubwa tumemshindwa?
Kigogo siku zake zinahesabika. Mark my words. Kigogo anatumia mitandao inayokuwa hosted nje ya Afrika lakini Kenya wanaidhalilisha Tanzania kwa mitandao inayomilikiwa na vijana wao.
 
Wakenya wana one of the most progressive constitution in Africa, sioni ni namna gani Kenyan authorities wanaweza kufanya chochote.
TCRA soon wataifungia mitandao yote inayodhalilisha Tanzania na itasamehewa baada ya kuandika barua ya kuomba radhi na kufikisha katika ubalozi wetu pale Nairobi.

Mkuu suala la nchi halina chama ujue. Tanzania ni mali ya wote CCM na wasio CCM.
 
If it was that easy, mbona Kigogo anatukana kila siku na sisi Taifa kubwa tumemshindwa? Again, Wakenya wana one of the most progressive constitution in Africa, sioni ni namna gani Kenyan authorities wanaweza kufanya chochote.
Umeoa Kenya nini wee jamaa?
 
TCRA soon wataifungia mitandao yote inayodhalilisha Tanzania na itasamehewa baada ya kuandika barua ya kuomba radhi na kufikisha katika ubalozi wetu pale Nairobi.

Mkuu suala la nchi halina chama ujue. Tanzania ni mali ya wote CCM na wasio CCM.
Hata mimi sipendi Rais wetu atukanwe hata kama anatoka CCM. My point ni kwamba tunachotaka sio rahisi kukipata, kwa sababu hivyo "vijarida" sio rasmi. Media house ziko makini, haziwezi kuandika upupu. Citizen TV walizamika kuomba radhi baada ya kuandika "Ukaidi wa Magufuli", kwa sababu ni serious people. Hawa wajinga mkiwajadili ndio wanapata mileage.
 
Hata mimi sipendi Rais wetu atukanwe hata kama anatoka CCM. My point ni kwamba tunachotaka sio rahisi kukipata, kwa sababu hivyo "vijarida" sio rasmi.
Unaweza kuviita kuwa ni "vijarida" lakini hauwezi kujua "who" is behind those evil projects. Governments all around the world have "shadow communities" and I think you know all about this.
 
Back
Top Bottom