Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Nakubaliana na wewe, hata hivi "vijarida" inawezekana ni guns for hire; kazi yake ni kuchafua watu huku bado unaweza kukataa kutohusika. Kama tunaona wanazidi, na sisi tunaweza tengeneza vya kwetu.
Tena tunatengeneza nuclear bombs
 
Mkuu

Sio Kenya tu,humu humu nchini watu kibao tunamtemea mate...

Hamtaki kukubali,jamaa lenu linachukiwa na halipendwi,msitulazimishie lile jitu la ajabu

Kaeni nalo huko makaburini
Hauna lolote jipya mzee wa matusi
 
Yule nae ni rais au jizi la kura?

Lile dikteta sio rais,ni mtu binafsi anaeitwa Magufuli..usimpakaze na urais kama institution,yule ni individual

Heri hata limekufa....lioze kabisa
Uoze na wewe pia mangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…