Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama mnalijua hilo fungeni midomo basimmh nani hajawahi kusingiziwa? mbona ni common?
haujawahi kusikia baba mzazi wa Freeman Mbowe ni Nyerere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mnalijua hilo fungeni midomo basimmh nani hajawahi kusingiziwa? mbona ni common?
haujawahi kusikia baba mzazi wa Freeman Mbowe ni Nyerere?
Mimi sio mwanasiasa. Usitafute kubishana na mimi pleaseKama ilikuuma ungekwenda mahakamani.
Siyo kulialia kwa mambo yasiyo kuhusu.
Funga kwanza wewe hilo domo lakoKama mnalijua hilo fungeni midomo basi
Mnyika ndio tunda lenye sumuLabda matunda yenye sumu
Tena tunatengeneza nuclear bombsNakubaliana na wewe, hata hivi "vijarida" inawezekana ni guns for hire; kazi yake ni kuchafua watu huku bado unaweza kukataa kutohusika. Kama tunaona wanazidi, na sisi tunaweza tengeneza vya kwetu.
Hauna lolote jipya mzee wa matusiMkuu
Sio Kenya tu,humu humu nchini watu kibao tunamtemea mate...
Hamtaki kukubali,jamaa lenu linachukiwa na halipendwi,msitulazimishie lile jitu la ajabu
Kaeni nalo huko makaburini
Uoze na wewe pia mangiYule nae ni rais au jizi la kura?
Lile dikteta sio rais,ni mtu binafsi anaeitwa Magufuli..usimpakaze na urais kama institution,yule ni individual
Heri hata limekufa....lioze kabisa
Sawa nitalifunga kwa kukusukumia korona iendelee kuwazoaFunga kwanza wewe hilo domo lako
Corona ilishafanya yake ndiyo maana tuna amani watanzania..Mnyika ndio tunda lenye sumu
Mangi wa chato?Uoze na wewe pia mangi
Zeeeeee ziiiiiiiiiiii izeeeeeeHauna lolote jipya mzee wa matusi
Nitabishana na wewe kwakuwa unazungumzia mambo ya siasa kwenye jukwaa la siasa.Mimi sio mwanasiasa. Usitafute kubishana na mimi please
Huwezi kuona kwakuwa ulikuwa unafurahia yanayofanyika .Kwa bahati mbaya sana hii sikuwahi kuisikia mkuu
Uliingia kwenye nafsi yangu?Huwezi kuona kwakuwa ulikuwa unafurahia yanayofanyika .
Unaweza kuficha unavyojisikia moyoni mwako lkn huwezi kuficha furaha yako mbele ya macho ya watu.Uliingia kwenye nafsi yangu?
Mkuu, kwani wewe ni jinsia gani?Unaweza kuficha unavyojisikia moyoni mwako lkn huwezi kuficha furaha yako mbele ya macho ya watu.
You're a walking deadYeye yupo kaburini mimi nipo barabara natembea,nani mjanja?
Nyie CHADEMA siwapendi mpaka nachefukaZeeeeee ziiiiiiiiiiii izeeeeee
Kajinyonge basiNyie CHADEMA siwapendi mpaka nachefuka
Leo siyo zamu yako ya kulinda kaburi?You're a walking dead