Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
Ccm si ndio walimfanya hivyo! Shit!Umejdili vizuri ila una chuki.
Toa hizo chuki. Hayo maisha umepewa kama zawadi tu.
Kesho wewe unaweza ukakosa viungo vyote ,,nani anajua?
Nimenyima haki yangu ya Mirathi kwa sababu ya Rushwa na Mwenyekiti wa Baraza la Aridhi na Nyumba mwezi uliopita kwa sababu tu ya Rushwa! Natamani takukuru wachunguze hukumu zake, inaonekana anawaaumiza wengi sana! Wwe Mwenyekiti wa Baraza la Aridhi la Wilaya anaendesha li gari likubwa Kama alfadi,kwa Nini asituumize ili amantain status! Nami namuomba Mungu amlete kwangu ili nimuone tu kwa ukaribu sana!!!!
Takataka kabisa!Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Nyie mapimbi ya ccm ndio mlimfanya kiwete!Unajua ni kwanini Rais Samia anamshinda Tundu Lissu? Ni kwa sababu yule kiwete wa Ubelgiji hana jipya na watanzania wamechoka kelele zake.
wahuni kama huyu kiroboto soma jinsi alivomnanga CHIFU HANGAYAHata siku moja Rais Samia hapumzishwi wala kutishwa na wahuni wa mtandaoni.
mhhh
Tanzania haijawahi kuwa na Rais muasherati hata siku moja.Wamesahau kuweka picha ya mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Magufuli.
Napinga kuiita hii kuwa ni "kashfa". Ni kashfa vipi? Kwani Magufuli alikuwa askofu?Ingekuwa Askofu Kilaini ana secret wife huko Nairobi hilo lingekuwa jambo lingine, ingekuwa seven day wonder.
Yule Magufuli ni mlei, ameenda Hoteli Nairobi ameulizwa,"Mheshimiwa, unataka demu?".(Usually huwa wanasema,"kati ya wale pale,sema unamtaka yupi tukuletee? We mtu mkubwa,bwana,sema tu unamtaka yupi tutakuletea '
Au watakupeleka kwenye darasa la wasichana uwasalimu(and this is quite true) halafu ukitoka mule ndani watakuuliza,"Yupo msichana yoyote pale anekupendeza tumlete?"
Huu ni uongo mkuu. Tanzania ipo makini sana linapokuja suala la kuchagua watu kuwa viongozi waandamizi. Ufuska kwa viongozi wetu hakuna hata siku moja.Wamesahau kuweka picha ya mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Magufuli.
Napinga kuiita hii kuwa ni "kashfa". Ni kashfa vipi? Kwani Magufuli alikuwa askofu?Ingekuwa Askofu Kilaini ana secret wife huko Nairobi hilo lingekuwa jambo lingine, ingekuwa seven day wonder.
Yule Magufuli ni mlei, ameenda Hoteli Nairobi ameulizwa,"Mheshimiwa, unataka demu?".
Magufuli alikuwa anakumbatia watoto kwenye kadamnasi,"We mtoto,ilikuwa unataka kuuliza nini? Njoo hapa. Njoo tu. Mwachie she. Njoo hapa mtoto mzuri. Una swali gani?"Huu ni uongo mkuu. Tanzania ipo makini sana linapokuja suala la kuchagua watu kuwa viongozi waandamizi. Ufuska kwa viongozi wetu hakuna hata siku moja.
Weka picha tuone mkuuMagufuli alikuwa anakumbatia watoto kwenye kadamnasi,"We mtoto,ilikuwa unataka kuuliza nini? Njoo hapa. Njoo tu. Mwachie she. Njoo hapa mtoto mzuri. Una swali gani?"
What I am saying ni kwamba watu hawatakiwi kubanwabanwa,ama sivyo watafanya mambo ya nature kwenye kadamnasi au kwenye cocktail party.