Wamesahau kuweka picha ya mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Magufuli.
Napinga kuiita hii kuwa ni "kashfa". Ni kashfa vipi? Kwani Magufuli alikuwa askofu?Ingekuwa Askofu Kilaini ana secret wife huko Nairobi hilo lingekuwa jambo lingine, ingekuwa seven day wonder.
Yule Magufuli ni mlei, ameenda Hoteli Nairobi ameulizwa,"Mheshimiwa, unataka demu?".(Usually huwa wanasema,"kati ya wale pale,sema unamtaka yupi tukuletee? We mtu mkubwa,bwana,sema tu unamtaka yupi tutakuletea '
Au watakupeleka kwenye darasa la wasichana uwasalimu(and this is quite true) halafu ukitoka mule ndani watakuuliza,"Yupo msichana yoyote pale anekupendeza tumlete?"