Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Only if there is sufficient proof you did that thing.Any decision you make in life you are responsible for it
Huu ni uhuru wa kipuuziHuo ndo uhuru wa habari,,
Wanasema the internet always wins... itakuwa ni sawa na kutaka kukamata upepo.Mkuu, inaweza kukemewa pasipo kutaja jina la mhusika. Leo Rais Magufuli kaandikwa hivi, kesho ikija kutokea kwa Rais Mama Samia itakuwaje?
Kuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?Umeona siyo kweli na wewe toa habari yako uthibitishe makanusho yako.
Vinginevyo unalialia bila sababu. Halafu hivyo ni vitu minor sana ndugu yangu acha ukoloni.
Kweli kwa ushahidi gani?Je kama ni kweli una maoni gani?
Kwa hiyo na sisi tuibue msanii wa bongo movie aseme alipewa mimba na Rais Kenyatta kisha iandikwe kwenye gazeti la Mwananchi?Wanasema the internet always wins... itakuwa ni sawa na kutaka kukamata upepo.
Sasa sijui wanazusha ili kupata faida gani? Au kuna watu wanawalipa kuchafu taswira njema ya taifa letu?Mauzo ya ilo gazeti yameshuka mno kutokana na janga Covid-19,sasa kwa sababu Magufuli ni maarufu wanatumia jina lake kupata mauzo kwa habari za uongo na uzushi,kama wazushi wengine wa hapa Bongo walivyozusha kuchotwa mabilioni BOT ya kumtibu mwendazake.
Hiki ni kijarida cha online, proper newhouse haiwezi kuweka news kama hii kwa sababu wanajua ni rahisi kuwadhibiti, si unakumbuka The EastAfrican walivyofungiwa baada ya katuni ya JK.Kwa hiyo na sisi tuibue msanii wa bongo movie aseme alipewa mimba na Rais Kenyatta kisha iandikwe kwenye gazeti la Mwananchi?
Hii sikuwahi kuisikia mkuusi unakumbuka The EastAfrican walivyofungiwa baada ya katuni ya JK.
Ndio maana TCRA waliamua kulazimisha watu kusajili online medias zote kwa maana walijua mambo kama haya huwa yanatokeaga sana.Tabu ndio iko hapo, the internet ni tatizo. Ukitaka kupambana nayo utachoka mwenyewe.
Mwenyewe nani? Sisi watanzania (mimi na wewe) ndio wahanga wa udhalilishaji huu.Kwani mwenyewe anasemaje
Uzinzi kwa ushahidi gani mzee baba?hii kawaida bana, acha stress
haujawahi kusingiziwa ushatembea na msichaba fulani mtaani? kazini? kanisani? n.k
utapata stress
SarcasticKi afrika kama ni kweli...basi sifa kwa Marehemu, alikuwa na nguvu huku anaumwa moyo??
Walifungiwa kisa katuni ya Gado ikimuonyesha Kikwete yuko kitandani na wanawake symbolising rushwa, uzembe etc. Serikali ya TZ walimind kinomaHii sikuwahi kuisikia mkuu
Ndio namna pekee ya kudhibiti, tatizo Kenya uhuru mwingi sana, hiyo sheria can not passNdio maana TCRA waliamua kulazimisha watu kusajili online medias zote kwa maana walijua mambo kama haya huwa yanatokeaga sana.
Hakika sisi ni "socialist state" na Kenya ni mabepari.Ndio namna pekee ya kudhibiti, tatizo Kenya uhuru mwingi sana, hiyo sheria can not pass
Uzinzi kwa ushahidi gani mzee baba?
Sawandio maana usiumizwe na hizo taarifa