Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Huo ndo uhuru wa habari,,
Umeona siyo kweli na wewe toa habari yako uthibitishe makanusho yako.
Vinginevyo unalialia bila sababu. Halafu hivyo ni vitu minor sana ndugu yangu acha ukoloni.
Tuondoke huko watanzania ,sisi tulikuwa huru kuliko wakenye lakini sasa sisi tunatakiwa kuiga Kenya.

Je kama ni kweli una maoni gani?
 
Umeona siyo kweli na wewe toa habari yako uthibitishe makanusho yako.
Vinginevyo unalialia bila sababu. Halafu hivyo ni vitu minor sana ndugu yangu acha ukoloni.
Kuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?
 
Mauzo ya ilo gazeti yameshuka mno kutokana na janga Covid-19,sasa kwa sababu Magufuli ni maarufu wanatumia jina lake kupata mauzo kwa habari za uongo na uzushi,kama wazushi wengine wa hapa Bongo walivyozusha kuchotwa mabilioni BOT ya kumtibu mwendazake.
Sasa sijui wanazusha ili kupata faida gani? Au kuna watu wanawalipa kuchafu taswira njema ya taifa letu?
 
Kwa hiyo na sisi tuibue msanii wa bongo movie aseme alipewa mimba na Rais Kenyatta kisha iandikwe kwenye gazeti la Mwananchi?
Hiki ni kijarida cha online, proper newhouse haiwezi kuweka news kama hii kwa sababu wanajua ni rahisi kuwadhibiti, si unakumbuka The EastAfrican walivyofungiwa baada ya katuni ya JK.

Tabu ndio iko hapo, the internet ni tatizo. Ukitaka kupambana nayo utachoka mwenyewe.
 
Tabu ndio iko hapo, the internet ni tatizo. Ukitaka kupambana nayo utachoka mwenyewe.
Ndio maana TCRA waliamua kulazimisha watu kusajili online medias zote kwa maana walijua mambo kama haya huwa yanatokeaga sana.
 
Back
Top Bottom