Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
Nyie hamna adabuYeah, that's why he too can be corrected if he's not on the right path. Huyu jamaa anaona eti ni kukosea heshima wenye mamlaka, wakati hajui kama wao wangelifanya kazi yao tuliyowatuma serikalini, we couldn't be having those chit chats about them!
Damn, I've already got my answer, I ain't talking to no crack head, hell no! Bye!!! 🤣 🤣 🤣Sad indeed. I feel sorry for you guys.
😂 😂 😂Nyie hamna adabu
Magufuli yupi maarufu?Mauzo ya ilo gazeti yameshuka mno kutokana na janga Covid-19,sasa kwa sababu Magufuli ni maarufu wanatumia jina lake kupata mauzo kwa habari za uongo na uzushi,kama wazushi wengine wa hapa Bongo walivyozusha kuchotwa mabilioni BOT ya kumtibu mwendazake.
Jibu la methali hii silifahamu lakini bila shaka inafanana na ile ya mti wenye matundaKunapofuka moshi.....
Rais wa awamu ya 5
Marehemu/hayati namba moja!!Kuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?
Mkuu wa nchi ya kuzimu!!???Kuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?
Sitaki mabishano ya kisiasa aisee. Mimi sio wa mambo hayo. Tukichekea leo kwa huyu kesho wanaweza kuanza kumtukana Rais Mama Samia.Mkuu wa nchi ya kuzimu!!???
Hakika ni hayati number moja mzalendoMarehemu/hayati namba moja!!
Kwa nyie wenye akili za kikoloni nadhani ndo muda wenu huu sasa wa kunung'unika, mlienjoy sana kutesa watu[emoji3].Huu ni uhuru wa kipuuzi
Itakuwa ameandikwa na ataipotezea, nasisi tutaipotezea na kufocus kwenye mambo ya msingi.Mkuu, inaweza kukemewa pasipo kutaja jina la mhusika. Leo Rais Magufuli kaandikwa hivi, kesho ikija kutokea kwa Rais Mama Samia itakuwaje?
Kwanini udaku unaadikwa katika "Mainstream Media"?Itakuwa ameandikwa na ataipotezea, nasisi tutaipotezea na kufocus kwenye mambo ya msingi.
Why uhangaike na udaku mdogo wangu??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mimi nilimtesa nani mkuu?...Kwa nyie wenye akili za kikoloni nadhani ndo muda wenu huu sasa wa kunung'unika, mlienjoy sana kutesa watu.