Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Mtoa mada tuondolee ushabiki wa MATAGA HAPA!

Kenya kuna barabara imepewa JIna la Mwalimu

Kadhalika hata Harare, Zimbabwe kuna Highway imepewa jina la Mwalimu

Windhoek Namibia upo mtaa una jina la mwalimu...

Jiwe alichoma mifugo ya Kenya na hadi anakufa hakuomba radhi unadhani wamemsamehe?

Sidhani hata kama kuna mtaa wanafikiri kuupa jina lake..

Then unatuletea hapa habari za EAC au hujui kuwa iliwahi kuvunjika huko nyuma?
 
Jiwe ndio nani?
 
Serikali ya kenya imefanya hivyo au raia wa kawaida tena hopeless kabisa? unataka tuharibu hadi mahusiano kwa upuuzii wa raia wachache ambao serikali haimo? ubalozi wetu ni ofisi kubwa sana hata kuweza kushughulikia mambo yasiyo na faida kama hilo.
 
Kisukuma hakuna tatizo, kawaida sana, vidume kutapanya mbegu na kuongeza uzao.
Relax, chill!
Unafikiria ubalozi utafanya nini ukiachia kukanusha na kutishi kwenda na mahakamani na kufanya hivyo ni kuziongezea media sababu ya militants hilo jambo.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ndugu, wafaa ujue pia google huchukua information about your likes from what you search from all the apps in your phone. Am assuming that you use Android phones. Some phones have been alleged to listen to users. So all this information google analyses and uses the same to give targeted advertisements based on your interests.

Wenye kuuza products depend on google for that. Hapa Kenya utamtoa wapi google ndio akuelezee kwenye website ni nani? That is how it works.
Mwambie pale anapoingia website naku accept cookies ndio info inayochukuliwa anapotumia hiyo site husika.
 
Sad indeed. I feel sorry for you guys.
Don't be, if if you can't speak out when you're being oppressed, be it directly or indirectly, then you and your circle are 'prisoners on your own country'

NB;unajidanga u mzalendo, lakini ukweli ni huwezi pinga sheria ama neno lolote litokalo kwa serikali yako, sababu ya uoga!
 
Iyo ni nchi ya mazezeta matahira sasa ukibishana na tahira ipo kazi kidogo ...ww funika kombe songaa mbele na mambo yako
 
Don't be, if if you can't speak out when you're being oppressed, be it directly or indirectly, then you and your circle are 'prisoners on your own country'

NB;unajidanga u mzalendo, lakini ukweli ni huwezi pinga sheria ama neno lolote litokalo kwa serikali yako, sababu ya uoga!
Sad indeed. I feel sorry for you guys.
 
Being humiliated (as a Kenyan) on social media happens daily on social media. Look at our Twitter space. Take not am not talking about matusi. No. Just opinions (tough words) here and there. Hata Rais ni human, sio special.
Yeah, that's why he too can be corrected if he's not on the right path. Huyu jamaa anaona eti ni kukosea heshima wenye mamlaka, wakati hajui kama wao wangelifanya kazi yao tuliyowatuma serikalini, we wouldn't be having those chit chats about them!
 
Back
Top Bottom