Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Nimekaa sana Nairobi ni mji wa kishamba afadhali hata MwanzaSasa hivi ninaongea nipo hapa westland pub nakula pilsiner bariiidi.
Karibu west land jijini Nairobi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekaa sana Nairobi ni mji wa kishamba afadhali hata MwanzaSasa hivi ninaongea nipo hapa westland pub nakula pilsiner bariiidi.
Karibu west land jijini Nairobi.
Hiyo ni akili yakoNimekaa sana Nairobi ni mji wa kishamba afadhali hata Mwanza
Sasa hivi nipo Mwanza njoo uishi uone kwa macho yako. Nitakulipia kula na kulala siku 7Hiyo ni akili yako
Kwani mbona unataka ushindani usiyo na mashiko?Sasa hivi nipo Mwanza njoo uishi uone kwa macho yako. Nitakulipia kula na kulala siku 7
Nairobi sijui huko Kisumu ni kubaaaaaya aisee pako kama jalalani.Nimekaa sana Nairobi ni mji wa kishamba afadhali hata Mwanza
Mwanaume mzima unashindana na mwanamke? Haujui hao kulalamika ndio kawaida yao?Kwani mbona unataka ushindani usiyo na mashiko?
Wewe kaa mwanza nami wacha nikae ninako hitaji.
Hapo ushindani unatoka wapi tena?
Mkuu umesoma nilicho muuliza?Mwanaume mzima unashindana na mwanamke? Haujui hao kulalamika ndio kawaida yao?
By theway jana niliiona baadhi ya picha za stand ya bukoba ikilalamikiwa sana.Mwanaume mzima unashindana na mwanamke? Haujui hao kulalamika ndio kawaida yao?
Mimi wazazi hawajawahi kunipeleka Bukoba tangia nizaliweBy theway jana niliiona baadhi ya picha za stand ya bukoba ikilalamikiwa sana.
Wazee wa bukoba mnakubali mbunge wenu akaa bungeni tulii akisubiri avute posho tu .
Anashindwa kupiga kelele juu ya hiyo stand ?
OK pole sana siyo tatizo lako pia inawezekana hata wazazi siyo tatizo ni mambo ya maisha.Mimi wazazi hawajawahi kunipeleka Bukoba tangia nizaliwe
Ni ugumu wa maisha ndio uliwafanya washindwe kubeba watoto kuwapeleka Kagera. Ila mimi na mke wangu na watoto wetu wawili tutajitahidi twende huko mwakani 2022.OK pole sana siyo tatizo lako pia inawezekana hata wazazi siyo tatizo ni mambo ya maisha.
Kaka yangu first born ameoa huko Kenya MkikuyuNimekaa sana Nairobi ni mji wa kishamba afadhali hata Mwanza
Wamechafua kwa ushahidi gani?Kweli kwa ushahidi gani?
Sawa kakaNi ugumu wa maisha ndio uliwafanya washindwe kubeba watoto kuwapeleka Kagera. Ila mimi na mke wangu na watoto wetu wawili tutajitahidi twende huko mwakani 2022.
Ni binadam kama binadam wengine, kama kafanya jambo na lisemwe tu.Kuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?
Haujaona sources nimeweka kama ushahidi?Wamechafua kwa ushahidi gani?
Uliwaona wakiwa wanafanya? Weka picha humu tuone? Rais sio binadamu wa kawaida ndio maana ulinzi wake sio sawa na wa mtu kama mimi.Ni binadam kama binadam wengine, kama kafanya jambo na lisemwe tu.
Utakuwa Mkenya wee jamaaNi binadam kama binadam wengine, kama kafanya jambo na lisemwe tu.
Wewe una uhuru wa kulifungulia hilo gazeti kesi kutokana na madai yako.Uliwaona wakiwa wanafanya? Weka picha humu tuone? Rais sio binadamu wa kawaida ndio maana ulinzi wake sio sawa na wa mtu kama mimi.
Kwanini dada Vero?Utakuwa Mkenya wee jamaa