Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Sasa hivi nipo Mwanza njoo uishi uone kwa macho yako. Nitakulipia kula na kulala siku 7
Kwani mbona unataka ushindani usiyo na mashiko?
Wewe kaa mwanza nami wacha nikae ninako hitaji.

Hapo ushindani unatoka wapi tena?
 
Kwani mbona unataka ushindani usiyo na mashiko?
Wewe kaa mwanza nami wacha nikae ninako hitaji.

Hapo ushindani unatoka wapi tena?
Mwanaume mzima unashindana na mwanamke? Haujui hao kulalamika ndio kawaida yao?
 
Mwanaume mzima unashindana na mwanamke? Haujui hao kulalamika ndio kawaida yao?
By theway jana niliiona baadhi ya picha za stand ya bukoba ikilalamikiwa sana.

Wazee wa bukoba mnakubali mbunge wenu akaa bungeni tulii akisubiri avute posho tu .

Anashindwa kupiga kelele juu ya hiyo stand ?
 
Mimi wazazi hawajawahi kunipeleka Bukoba tangia nizaliwe
 
OK pole sana siyo tatizo lako pia inawezekana hata wazazi siyo tatizo ni mambo ya maisha.
Ni ugumu wa maisha ndio uliwafanya washindwe kubeba watoto kuwapeleka Kagera. Ila mimi na mke wangu na watoto wetu wawili tutajitahidi twende huko mwakani 2022.
 
Ni binadam kama binadam wengine, kama kafanya jambo na lisemwe tu.
Uliwaona wakiwa wanafanya? Weka picha humu tuone? Rais sio binadamu wa kawaida ndio maana ulinzi wake sio sawa na wa mtu kama mimi.
 
Back
Top Bottom