Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kila mtu ujiandikia historia yake mwenyewe kwamba anataka asemweje
 
Unajua ni kwanini Rais Samia anamshinda Tundu Lissu? Ni kwa sababu yule kiwete wa Ubelgiji hana jipya na watanzania wamechoka kelele zake.
Umejdili vizuri ila una chuki.
Toa hizo chuki. Hayo maisha umepewa kama zawadi tu.
Kesho wewe unaweza ukakosa viungo vyote ,,nani anajua?
 
Back
Top Bottom