jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Taarifa nilizoziona, ni kutoka kwa “McAllister” Kama sikosei ndiye mwenyekiti wa kamati hiyo. Na yeye ndiye anayeleta maazimio hayo kwenye bunge!Amesema hakuna azimio hata moja lililowekwa. Mkuu, kilikuwa kikao tu cha kubadilishana mawazo. Ni kweli ukifuatilia majadiliano hakuna azimio lolote lililowekwa
Huyu jamaa ni kilaza tu angenyamaza. Au kama kuna ukweli, angeomba wahusika wakanushe! Ile ni tweet ya mwenyekiti wa hiyo kamati!
Lakini ukweli kwamba kuna wabunge watano kwenye kamati waliotoa maoni hasi, siyo suala la kupuuza eti kwasababu hao wengine 70 na ushee hawakuzungumza.
Ndiyo maana nasema ni kilaza. Pia hiyo nafasi inaonyesha ni kwa namna gani ccm hawako competitive kwenye kuleta vichwa vya kutuwakilisha kwa manufaa ya Taifa na si chama.