Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Tundu Lissu ameingia kwasababu alikuwa ataka kufanya afanyayo Abiy sasa hivi.

Ile tuzo ya Nobel ni kiini macho tu lakini Ayib anatumia na nchi za kibeberu wanaotaka ile Horn of Afrika yenye mafuta na gesi.

Mashirika na makampuni ya kibeberu yapo nyuma ya kampeni zake za kuweka rasilimali za nchi kama ardhi, mashirika ya umma na miundombinu vyote kubinafsisha kwa mabeberu.

Haya mambo yataka upembuzi yakinifu sana ili kuyaelewa.

Tundu Lissu na Abiy Ahmed wote ni vibaraka wa nchi za kibeberu.
Sawa maoni yako yaheshimiwe boss sasa haya mabeberu tutafanyeje boss kama yana nia mbaya hivi si tuyafukuze tu hapa kwetu?
 
19 Nov 2020
Brussels, Tanzania

Magufuli has dismantled Tanzanian democracy - European MPs



Members of European Parliament have criticised Tanzanian government under President John Magufuli for dismantling the little democratic gains the country has had.

Members of European Union Foreign Affairs Council going berserk by explanation coming out of Tanzanian government officials in Dar es Salaam.
Source : Weyani TV
 
Mbona Amsterdam na Tundu "Quinsling" Lisu leo wako kimya, mipango imebuma au?
nafikiri huo mda wa kufatilia wameongea au hawajaongea ungejaribu kufatilia michango ya babu tale kuleta maendeleo na kutunga sheria bora kabisa, Amsterdam pia ni wakili wa Bob wine unajua kianchoendelea Uganda yuko busy kule pia yaani bunge la EU link ilitolewa ilikuwa live unataka tena watu waongee?
 
sawa maoni yako yaheshimiwe boss sasa haya mabeberu tutafanyeje boss kama yana nia mbaya hivi si tuyafukuze tu hapa kwetu?
Tuwekeane nao "memorandum of understanding" watambue kuwa sasa hivi sisi si watumwa wa fikra.

Pia watambue kuwa tunao uwezo wa kujiamulia mambo yetu wenyewe bila kuingiliwa au kupangiwa.

Tupo tayari kwa ushirikiano lakini si wa kuwkewa nyuzi au kamba zinazoweza kuvutwa wakti wowote.
 
Tuwekeane nao "memorandum of understanding" watambue kuwa sasa hivi sisi si watumwa wa fikra.

Pia watambue kuwa tunao uwezo wa kujiamulia mambo yetu wenyewe bila kuingiliwa au kupangiwa.

Tupo tayari kwa ushirikiano lakini si wa kuwkewa nyuzi au kamba zinazoweza kuvutwa wakti wowote.
Hapana kuonyeshwa kuchukizwa na kuingiliwa mambo yetu wafukuzwe haraka na sisi tuondoe mabalozi huko kwao unaonaje hiyo?
 
nafikiri huo mda wa kufatilia wameongea au hawajaongea ungejaribu kufatilia michango ya babu tale kuleta maendeleo na kutunga sheria bora kabisa, Amsterdam pia ni wakili wa Bob wine unajua kianchoendelea Uganda yuko busy kule pia yaani bunge la EU link ilitolewa ilikuwa live unataka tena watu waongee?
Utopolo mtupu.
 
Tuwekeane nao "memorandum of understanding" watambue kuwa sasa hivi sisi si watumwa wa fikra.

Pia watambue kuwa tunao uwezo wa kujiamulia mambo yetu wenyewe bila kuingiliwa au kupangiwa.

Tupo tayari kwa ushirikiano lakini si wa kuwkewa nyuzi au kamba zinazoweza kuvutwa wakti wowote.
kwani MOU si ndo hiyo mikataba ya kupewa misaada unaambiwa HESHIMU HAKI ZA BINADAMU, UTAWALA BORA, DEMOKRASIA na wewe ukasaini ukachukua mpunga si ndo MOU yenyewe hiyo? Kisha ukienda kinyume unakumbushwa bwana we mbona huheshimu tena makubaliano yetu kijana?
 
Mbona mnahangaika sana na ngozi nyeupe. Tanzania sio masikini ki-vile kuwategemea wazungu, hao wazungu ndio walikuja huku na kuwadanganya watemi na vipande vya sabuni na sukari, matokeo yake ndio huu utumwa wa kuwaabudu wazungu. Afrika tulikuwa tunatumia matunda kumudu mahitaji yetu ya ndani kiafya na kutumia mitishamba kama dawa muhimu. Kama hufahamu hilo angalia Covid-19 ilivyowamaliza, waogopeni wazungu kama ukoma.
 
kwani MOU si ndo hiyo mikataba ya kupewa misaada unaambiwa HESHIMU HAKI ZA BINADAMU,UTAWALA BORA,DEMOKRASIA na wewe ukasaini ukachukua mpunga si ndo MOU yenyewe hiyo?kisha ukienda kinyume unakumbushwa bwana wee mbona huheshimu tena makubaliano yetu kijana?
Kwani wao wao kwenye nchi zao wanaheshimu hayo yote kwa asilimia 100%?
 
Sio propaganda.

Abiy ananyang'anya ardhi ili awape makabaila wa kizungu.

Sasa wananchi wa Ethiopia wamekuwa wakimbizi na wengine twawakamata huko Morogoro.

Ndo mlitaka Tundu Lissu afuate sera hizo kuweka rehani rasilimali za nchi.
Unatolea mfano wa nchi moja unaacha mifano ya nchi nyingi ndiyo maana ya propaganda.
 
Kwani wao wao kwenye nchi zao wanaheshimu hayo yote kwa asilimia 100%?
na sisi inatakiwa tuwatolee tamko kali la kutoheshimu haki za binadamu na kuwawekea vikwazo kwa mfano hakuna raia wa ulaya kuja kutalii hapa au kuwekeza ili tuwathiri kiuchumi lazima watapiga magoti na kuanza kuheshimu haki za binadamu huko kwao
 
Yaani ukisikia wanavyo wananga mabeberu utasikia tulichezewa sana, fedha zetu za ndani, sisi ni donakantri

Kumbe wamepokea fedha zaidi ya trillion 1.4 ambazo hatujui zilitumika vipi, basi leo kabudi sukari ishapanda
Halafu alivyo kilaza, anasema “hatupoekei pesa”, hapo hapo anasema “pesa hazijasitishwa”
 
anayeonekana kwenye video akilalamikia bilion 63 na kutoa masaa 48 ya kutaka maelezo ilivyotumiaka ni huyu Mc allister ni mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje ya bunge la ulaya
View attachment 1630339
Ukisoma habari zake unakuta huyu aliyekuwa Mwenyekiti kumbe anatoka chama cha CDU cha Ujerumani ambacho ni chama dada wa CHADEMA na chama kinachoidhamini CHADEMA kwenye mambo mbalimbali.
 
Unatolea mfano wa nchi moja unaacha mifano ya nchi nyingi ndiyo maana ya propaganda.
Abiy si pekee wapo wengine hata huyu Tsishekedi yupoyupo tu watu wanaendelea kuuana huku mabeberu wanaiba malighafi ya kutengeneza battery za magari.

Kwa taarifa yako EU magari ya petroli na dizeli yatapigwa marufuku ifikapo 2030.

Wana uhakika na malighafi na maliasili zingine kama dhahabu na almasi.

Lakini Congo DRC wapo UN, na watu wengine wa ajabuajabu wakiiba rasilimali za nchi hiyo.

Tsishekedi alitangazwa kuwa raisi wa Congo DRC mwezi january 2019 na mwezi April 2019 akatimkia zake Washington kukutana na bwana Pompeo.

Weye wadhani waliongea masuala gani ya maendeleo kwa Congo DRC?
 
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimang kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.

Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.

Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.

Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.

Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.

Awamu hii ni shida tupu!

No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."

Watu wengi watanzania wachache. Fedha hata siku moja hazita mkwamua Maskini.
Umaskini wa kwanza ni fikra.
JPM ana fikra sahihi.
Covid ipi. Tanzania ni moja ya nchi chache ambazo watu wanasalimiana kwa kushikana mikono. Wewe hujaangalia kumalizika kwa tatizo hela imekuzuzua.
 
Ukisoma habari zake unakuta huyu aliyekuwa Mwenyekiti kumbe anatoka chama cha CDU cha Ujerumani ambacho ni chama dada wa CHADEMA na chama kinachoidhamini CHADEMA kwenye mambo mbalimbali. Kumbe............ Ataisoma namba na chadema yake
tumpige marufuku kuja Tanzania ndugu yangu halafu chadema si ishakufa au?
 
19 November 2020
Brussels, Tanzania

Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji ambaye pia ni mwakilishi wa Tanzania EU, Mh. Balozi Jestas Abuok Nyamanga amefunguka



Hii ni baada ya Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Umoja wa Ulaya - EU kuzungumzia kuzorota kwa demorkasia, uchaguzi uliomalizika 28 Oktoba 2020 nchini Tanzania na jinsi Tanzania inavyoshughulikia janga la gonjwa la COVID-19
 
19 Nov 2020
Brussels, Tanzania

Magufuli has dismantled Tanzanian democracy - European MPs


Members of European Parliament have criticised Tanzanian government under President John Magufuli for dismantling the little democratic gains the country has had.

Members of European Union Foreign Affairs Council members going berserk by bizarre explanation coming out of Tanzanian government officials in Dar es Salaam.
Source : Weyani TV

Mbona hizo 27million Euros ni ndogo sana. Kama hata hao wachangiaji hawafahamu kama kweli walitoa hiyo pesa, ujinga mtupu. Tanzania sasa naona wapo pazuri lazima wale sahani moja na hawa wapumbavu.
 
na sisi inatakiwa tuwatolee tamko kali la kutoheshimu haki za binadamu na kuwawekea vikwazo kwa mfano hakuna raia wa ulaya kuja kutalii hapa au kuwekeza ili tuwathiri kiuchumi lazima watapiga magoti na kuanza kuheshimu haki za binadamu huko kwao
Sisi tunatakiwa nasi tuwe na waandishi wa habari mahiri na vyombo vya habari mahiri kutangaza masuala yao huko wako.

Ulaya wapo ombaomba, kuna food bank wazifahamu hizi?

Idadi ya waso na kazi ni kubwa na sasa COVID -19 yawala wao kisawasawa, hivyo nao wana matatizo mengi tu wakae kimya kila mtu ashughulike na lwake.

Sie twapeta tu.

Sasa kama twataka usawa wa propaganda basi twaanzia hapo.

Halafu, uzuri mimi nimeishi huko Ulaya na Marekani hivyo nafahamu ninacho kiongea.

Kumbuka, hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere hakumwambia bwana Sir Edward Twinning kwamba ataka uhuru halafu baadae arudishe uhuru huo kwa wazungu kwa njia ya kujikombakomba.
 
Kamati ya Mambo ya Nje la Bunge la Umoja wa Ulaya imefanya kazi nzuri, ilichobaki ni kwenda mbele kushawishi Bunge zima la EU na nchi wanachama kuibana serikali ya Tanzania kufuatia (Action Plan) azimio la mpango kazi wa 2020- 2024 kuhusu kuimarisha Demokrasia na Haki za Binadamu wanapotoa misaada ambayo ni kodi za wananchi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya : Soma hapa chini Azimio hilo:

More info :
19 November 2020

Council approves conclusions on the EU Action Plan on Human Rights and Democracy 2020-2024​

The Council has approved conclusions on the EU Action Plan on Human Rights and Democracy 2020-2024. The Action Plan sets out the EU's level of ambition and priorities in this field in its relations with all third countries.

With this Action Plan, the Council reaffirms the EU's strong commitment to further advancing universal values for all.

The conclusions acknowledge that while there have been leaps forward, there has also been a pushback against the universality and indivisibility of human rights. The ongoing COVID-19 pandemic and its socio-economic consequences have had an increasingly negative impact on all human rights, democracy and rule of law, deepening pre-existing inequalities and increasing pressure on persons in vulnerable situations.

No one should be left behind, no human right ignored. To this end the EU and its member states will use the full range of their instruments, in all areas of external action, to focus on and further strengthen EU's global leadership in the field of human rights and democracy and in the implementation of the EU Action Plan.

Background​

In 2012, the EU adopted the Strategic Framework on Human Rights and Democracy which set out the principles, objectives and priorities designed to improve the effectiveness and consistency of EU policy in these areas. To implement the EU Strategic Framework of 2012, the EU has adopted two EU Action Plans (2012-2014 and 2015-2019).

The new Action Plan for 2020-2024 builds on the previous action plans and continues to focus on long-standing priorities such as supporting human rights defenders and the fight against the death penalty.

By identifying five overarching priorities: (1) protecting and empowering individuals; (2) building resilient, inclusive and democratic societies; (3) promoting a global system for human rights and democracy; (4) new technologies: harnessing opportunities and addressing challenges; and (5) delivering by working together, the Action Plan also reflects the changing context with attention to new technologies and to the link between global environmental challenges and human rights.
Source : https://www.consilium.europa.eu/en/...plan-on-human-rights-and-democracy-2020-2024/
 
Back
Top Bottom