Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimang kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.
Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.
Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.
Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.
Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.
Awamu hii ni shida tupu!
No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."