Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Kamati ya Mambo ya Nje la Bunge la Umoja wa Ulaya imefanya kazi nzuri, ilichobaki ni kwenda mbele kushawishi Bunge zima la EU na nchi wanachama kuibana serikali ya Tanzania.
Tanzania wabanwe kwa lipi mkuu.
 
Kamati ya Mambo ya Nje la Bunge la Umoja wa Ulaya imefanya kazi nzuri, ilichobaki ni kwenda mbele kushawishi Bunge zima la EU na nchi wanachama kuibana serikali ya Tanzania.
Hamna kitu hapo ni propaganda zao.

Wazungu wengi ma-experts na vijikampuni vyao vya ushauri elekezi ndo wamekuwa hard hit.

Symbion ndo bado wanalialia.

JPM ataka watanzania ndo washike hizo tenda na wawe wanazingatiwa kwanza.

Sifahamu wale jamaa wa PWC kama bado wadunda mjini Dar.

Na hio ni "tip of iceberg" kuna Japan na JICA nao wamekuwa hit somehow.

Hivyo ukiona kelele hizi si za bure.
 
Duh! Kumbe wengi hamjaielewa ile "video ya McAlister", pale ni kikao cha kamati wanmhoji officer wao wa EU anayehusika na kutoa hela za CoVID, ndo wanamtaka atoe maelezo kwanini katoa Tanzania wakati hatuna corona n.k., kama hana hapo amletee kwa maandishi ndani ya siku 2, pia anahoji na ofisi ya EU ambayo ipo Tanzania... pale hatoi tamko wala hatuhoji sisi kama nchi, anafwatilia hela za walipa kodi wao, sana sana kama akishindwa kujieleza watamtumbua huyo officer na sidhani kama atakosa maelezo
 
Utawala wa CCM Mpya Tanzania ina nafasi ya "kujisahihisha" , ili kuepukana na vikwazo, kulaaniwa na kupewa karipio mara kwa mara na Jumuiya ya Kimataifa tusifikie ngazi za tawala za Zimbabwe na Eritrea zilipofika kuwekewa vikwazo vya kila namna.
 
Hahaha anapingana na wananchi?! Wananchi wanataka bunge la ulaya liiwekee Tanzania vikwazo, yeye kama hataki shauri yake, au naye ajiunge huko kwenye mitandao awe anajibizana na wananchi.

Yeye ni wakala wa mtu sio nchi.
 
Umechangia kinyumbunyumbu maana habari inahusu bunge la ulaya kukanusha habari za kuiwekea vikwazo tz, wewe umeleta habari za beberu lenu Amsterdam.
Soma Tena hiyo habari.
 
misaada wanakata lini?
 
Mataga hawaelewi hii lugha
 
Wachaga kubalini mshashindwa uchaguzi na 2025 mtashindwa vibaya zaidi 😂😂😂.

Mnaanza kulazimisha vitu ambavyo havipo ili mpate faraja 🤣🤣🤣🤣🤣
 
WEWE NI KIBARAKA WA MABEBERU.
 
baniani mbaya kiatu chake dawa.ILA KWA TAARIFA TU,JIANDAE KISAIKOLOJIA..kama una shamba Lima Sana,weka chakula ndani...,.weka akiba ya pesa kwenye kibubu..,PUNGUZA ULAFI....,SITISHA SAFARI ZA DODOMA KUOMBA TEUZI,KAA HOME NA FAMILIA.,MFARIJIANE MAANA NYAKATI MBAYA ZINAKUJA

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Aibu kwa nani,wewe tangu urudi chadema akili zako zumekufyatuka,lissu anakudanganyeni sana,

Kwa taarifa yako ili usiendelee kuumia kwa chuki zako dhidi ya government ya CCM yakupasa utambue kuwa hakuna cha vikwazo wala kaka yake na vukwazo au sijui kukatwa kwa misaada ya hao mabeberu

Jiandae kisaikolojia
 
Ukisoma habari zake unakuta huyu aliyekuwa Mwenyekiti kumbe anatoka chama cha CDU cha Ujerumani ambacho ni chama dada wa CHADEMA na chama kinachoidhamini CHADEMA kwenye mambo mbalimbali. Kumbe............ Ataisoma namba na chadema yake
Dogo, kumbe ww ni hamnazo?! Badala ya kujadili hoja unaleta ushabiki... duh🙄
 
Huyo balozi ni muongo, na Pia ni kilaza! Eti anathubutu kubeza maoni ya wabunge 5?! Tena wa kamati ya mambo ya nje? Eti kuwa siyo bunge lote, hajui kuwa bunge lote husikiliza hizo kamati? Ama anadhani ni bunge la Ndugai?
yaliyotolewa sio maazimio ya kamati ni wabunge binafsi kuchangia kwenye kamati
 
Sisi tunatakiwa nasi tuwe na waandishi wa habari mahiri na vyombo vya habari mahiri kutangaza masuala yao huko wako...
Mbona tayari tunao TBC, Channel ten, Uhuru & Mzalendo, na akina Musiba..
Waambie wafanye kazi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…