Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Muda ni mwalimu mzuri sana , walamba miguu wa Jiwe na vibaraka wake wote subirini mnyooshwe , bunge tumelisiliza Jana na wametema nyongo kwelikweli kuhusu Tanzania , Jiwe na vibaraka wake hamponi safari hii hata mdhikiri uchi .
 
Tanzania ya viwanda,
Uchumi was kati,
Tunajenga mikasi mikubwa kwa fedha zetu
Deni la Taifa kutoka kwa mabebelu Tr.52
Tulieni dawa iwaingie
 
Tunategemeana sote, hata wao wanatutegemea.
 
Unaweza kutuwekea hilo azimio la nchi za ulaya kuhusu tanzania hapa?
 
Kama wakoloni wangekuwa wanaanza kuitawala Afrika wakati huu hapa Tanzania wasingepata upinzani wowote! Haki ya Mungu watu wamejichoka wenyewe kwa mujibu wa michango ya JF
Ni wajinga wachache tu wapo pale ufipa wana uchungu wa kushindwa
 
Muda ni mwalimu mzuri sana , walamba miguu wa Jiwe na vibaraka wake wote subirini mnyooshwe , bunge tumelisiliza Jana na wametema nyongo kwelikweli kuhusu Tanzania , Jiwe na vibaraka wake hamponi safari hii hata mdhikiri uchi .
Kwamba jiwe ndio ataanza kulala njaa?

[emoji23][emoji23][emoji23]Alafu hivi mnafikiri tz ni kikundi cha vikoba?
 
Ni mabeberu tu kwani uongo?
 
Aibu sana kwa wapotoshaji kama nyinyi. Hamna hoja zaidi ya kejeli na kubadiri maneno.
Sasa mmekuja na jipya sio tena kufutiwa misaada. Na mlifeli pale mliposema eti misaada ina sitishwa sababu, pamoja na mengineyo, ni suala la ugaidi mikoa ya kusini na mpakani mwa msumbiji. Hivi, kweli ugaidi kama ule unaweza kusababisha nchi kuwekewa vikwazo? Nyie mandezi kweli na propaganda zenu. Leteni hoja sio viloja.
 
 

Attachments

  • VID-20201120-WA0004.mp4
    1.1 MB
  • VID-20201120-WA0004.mp4
    1.1 MB
Kumbe na wewe ni mwehu kiasi hiki??
 
Wamemuangushaje wakati mmempola ushindi wake???
Huwezi kushinda uchaguzi/au kuongoza nchi kwa kushirikiana na KABURU. Tundu Lisu angekuwa mzalendo wa nchi hii angeunda chama chake safi kabisa ambacho hakina mahusiano na hao Makaburu. Alitakiwa kuwa na chama cha kizalendo na kuzungumza mambo muhimu kwa ukweli na kugusa shida za watu kwa ukweli kabisa watu wangemuelewa kwasababu watu ndio wenye kuhitaji maendeleo na watu ndio wapiga kura.

Ila kwa hesabu zake za ajabu za kutetea mambo ya kishenzi yaliojaa ukaburukaburu, kuweka rehani rasilimali za Taifa kwa Makaburu ili kupewa misaada yenye masharti ya ajabu ni kujidanganya yeye na roho yake.

Watanzania sio wajinga kama mnavyodhani, kuna elimu ndogo,kati na kubwa. Watanzania wengi wanajitambua na wanauwezo wa kuelewa hata pale kiongozi anapozungumza sio mpaka waende darasani.
 
Kaburu gani mnaemsema huyu ambaye nyie mnaenda kumuomba euro mil 27 mkidai kwenu kuna corona alafu mmetangaza kuwa kwenu hakuna corona?

Mbaya zaidi mnapiga hela zake na kumtembezea bakuli kila siku? Au kaburu yupi?
 
Mimi nilifikiri EU ndio wamekanusha, kumbe balozi wa Tanzania EU!!
 
Mtabakiaga hivyo hivyo na hizo hoja zenu mfu
 
Mbona mnateseka hivyo.
Wata hangaika sana lakini ukweli una baki kuwa ukweli. Maana hata covid tuliaminishwa haipo kumbe jamaa walivuta mshiko.
Tunaambiwa umeme wa REA ni hela za ndani kumbe ni hela za mabeberu. Wana kanusha maana wana jua. Mabeberu hawa somi kiswahili. Mwisho wa siku itajulikana nani mkweli kati ya balozi na aliye weka bango hapa.
Maana hata kwenye mtandao iko picha live wakiijadili Tz
 
Sisi tuna ongea Kigogo hatuna habari na lugha za mabeberu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…