Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Wewe sio mtanzania?Kwa akili yako ulitaka hao wabunge 71 wachangie kwa siku moja? Hao watano wamewakilisha mawazo ya wenzao, subiri vikwazo vinakuja mlipie dhuluma yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio mtanzania?Kwa akili yako ulitaka hao wabunge 71 wachangie kwa siku moja? Hao watano wamewakilisha mawazo ya wenzao, subiri vikwazo vinakuja mlipie dhuluma yenu
Ndugu, pengine hujui namna mchakato wa public policy making unavyokuwa. Ndio Tanzania (soma madudu ya Tanzania) umeingia mainstream ya EU policy-making. Ukweli ndio huo!Kuna tofauti kubwa sana kati ya vikao vya kamati ya Bunge na kikao cha Bunge la EU.
Ubalozi wa EU upo pale Umoja House tafuteni ukweli.
Halafu ruzuku imeshayeyuka. Tusubiri tuone itakuwaje.Na mwenye Nyumba hapo ufipa anadai Kodi yake
mkuu aliyejibu ni balozi wa Tz yaani mteule wa Magufuli huko Ubelgiji,sio mzungeMARA YA MWISHO UBALOZI WA BELGIUM KUPOST TWITTER NI TAREHE 16 OFFICIAL ISSUES ZOTE LAZIMA WAPOST TWITTER
PILI BUNGE LA ULAYA WABUNGE 705 SIYO 71
TATU UBALOZI WA UBELGIJI HAUWEZI KUTOA TAARIFA KUHUSU EU PARLIAMENT HATA KAMA MAKAO MAKUU YAPO BRUSSELS KUNA
OFISI YA EU HAPA TANZANIA WAO NDIYO WANATAKIWA KUTOA TAARIFA KWANZA KILICHOPO WAO(WAKO KIKAANGONI WAELEZE ILKUWAJE WAKATOA HIZO BILIONI 63
Fedha za corona tulizochukua wakati Serikali ilitangaza hadharani kwamba; Tanzania hatuna corona tumeifukuza kwa maombi ya siku tatu.
Aidha, Kamati hiyo imetujadili kuhusiana na mazingira ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2020 maana EU imekuwa ikifadhiri fedha za kuboresha demokrasia na utawala bora hapa nchini.
Tanzania inyimwe misaada na kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na nchi zote ambazo ni washirika wa umoja wa ulaya.
Tanzania pamoja na Afisa wa Umoja wa Ulaya anayehudumu Tanzania wajieleze ndani ya masaa 48 kwa nini walipokea fedha za corona zaidi 70Billions kinyume na masharti ya WHO ili hali Serikali ya Tanzania iliutangazia ulimwengu kwamba hakuna corona Tanzania.
Serikali ya Tanzania ikiri kwa maandishi kwamba; itaratibu chaguzi zilizo za huru na haki sambamba na kuilinda Demokrasia iliyoporomoka kwa kiwango kikubwa sana.
Kwani huwa tunahitaji misaada ya bebereu?Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.
Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii
Zaidi soma:
Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...www.jamiiforums.com
walivyosema jana nilijua ni mzungu ila anavyoongea balozi wa TZ huko Brussels ni kama vile hatukuona livestream,napata shida sana na viongozi wetu kwa kweli...dahmkuu aliyejibu ni balozi wa Tz yaani mteule wa Magufuli huko Ubelgiji,sio mzunge
una sound kama unafurahia recognition ya mabeberu ya brussels?kupokelewa letter yake ila katudharau huyo diplomat kutuafafanulia kilichoongelewa sababu tuliona livestream an kiingereza tunakijuaHe's lovely young diplomat at the very important place.
Afaa sana huyu.
Mwenzako alipeleka "letters of credentials" Brussels na akapokewa.
mkuu tunaongozwa na bogus. wazungu watakuwa wanajiuliza kama huyu kaja kuwawakilisha huku,je aliowaacha kule wanafananajeMimi nilijua nakuja kukanusha kwamba hata kamati haijakaa na kwamba CDM wametengeneza ili clip. kumbwe kweli wameongelea ujinga uliofanyika kwenye uchaguzuzi. no bora angekaa kimya
JANA MATAGA walisema mkubwa wao kakanusha,nikajiuliza mkubwa wa kina Mc allister aliyekanusha ni nani?kumbe balozi wa Tz huko ubelgiji, duhmkuu tunaongozwa na bogus. wazungu watakuwa wanajiuliza kama huyu kaja kuwawakilisha huku,je aliowaacha kule wanafananaje
Hawa Dona kantri wanalilia misaada ya mashoga?.Huyo balozi wa Ubelgiji siyo mzalendo hata kidogo. Kwanini anaendelea kulilia pesa za mabeberu? Mnadanganya wananchi eti wanalazimishiwa ushoga na mabeberu.
Halafu anasema “hatupokei msaada kila mwaka”, na hapo hapo anasema “msaada haujasitishwa”
Halafu hii issue ya ushoga, ni propaganda nyingine ambapo Makonda alikwenda kinyume na katiba ya nchi kwa kutangaza kuwakamata mashoga wa Dar. Sasa hapo mabeberu wamemlazimisha nani kuwa shoga?😀🤦🏾♂️Hawa Dona kantri wanalilia misaada ya mashoga?.
Ninafikiri Bunge la Umoja wa Ulaya ndo waliopaswa kukanusha. Kama suala ni mawazo ya baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya, balozi wetu amepata wapi uhakika kwamba mawazo ya hao baadhi ya wabunge yamekubaliwa au yamekataliwa? Sasa balozi wetu anajua kuwa lolote kama bunge hilo limehitimisha mjadala huo ama bado?Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.
Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii
Zaidi soma:
Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...www.jamiiforums.com
Hajui anataka nini!.Halafu alivyo kilaza, anasema “hatupoekei pesa”, hapo hapo anasema “pesa hazijasitishwa”
Wanakurupuka Tu, wakipewa fedha wanawaita nchi rafiki, Wakiambiwa wafuate democrasia wanawaita mabeberu/ mashoga. Nchi ya waliochanganyikiwa.Halafu hii issue ya ushoga, ni propaganda nyingine ambapo Makonda alikwenda kinyume na katiba ya nchi kwa kutangaza kuwakamata mashoga wa Dar. Sasa hapo mabeberu wamemlazimisha nani kuwa shoga?😀🤦🏾♂️