Ndugai namkubali sana .
Kuna aina Fulani ya Upuuzi ilitaka kuhamia Bungeni ya Kutoa kauli za kudhalilisha, kuzomea wengine walitoa hoja ZAO, Kupinga Kila kitu, Kudharau Kila MTU n.k.
Ndugai akasimama imara kuondoa uchafu Huo na kujifanya Bunge linyooke Mstari Mmoja.
Utasikia ,"Halima Mdee Nimekuona unazomea ,,Toka Nje", Nakupa dk Moja ,Toka Nje" .
Hahaaaa .
Halima Kistarabu kabisa anawaaga wenzake anatoka Nje. Esta Bulaya na Wewe Nimekuona , "Toka Nje"
Kama SIO Uimara Wa Job Ndugai Wapinzani 2015 /2020 walidhamiria kujifanya Bunge lisitawalike. Limgekua ni Bunge la fujo na kupigana ngumu.
Jobu Ndugai ni Mtanzania Mwenye Msimamo thabiti Wa kusimamia Sheria .
Wapinzani Wanatumia mikutano ya hadhara KUTUKANA badala ya kuleta será mbadala.
Lakini pia wapinzani wanakosa mbinu za kisiasa zinazoendana na mazingira.
Slaa,Lipumba, Marehemu Seif n.k. WALIKUA wanajua kucheza na Akili za watanzania na kufanikiwa kubadili Upepo Wa kisiasa.
Kwa Mfano Mbali na Kigoma ,hakuna Mwananchi nje ya Twitter anayefaham kuwa Zito ni kitu Gani. Ni MTU au ni Zito Kwa MAANA ya weight.?