Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu. Kwanini sisi?

Kama wewe daktari basi ni zwazwa. Tumekwisha. Unataka US na Europe waandamane kwa kudai katiba mpya? Wenzetu walipita huko miaka zaidi ya 100 iliyopita. Black Lives Matter ilikuwa nini? Kama unajifananisha na US, unataka watu wakavamia jengo la Bunge ili tuwe sare sare?
 
Sababu:
1. Wana katiba zinazosimamia demokrasia

2. Wana uhuru wa kujieleza na kutoa maoni unaotokana na katiba bora. Hivyo hawana haja ya kuandamana ili wasikilizwe

3. Maandamano hufanyika pale tu katiba inapokiukwa, mfano Black Lives Matter. Kwa hiyo maandamano yao ni kwa kulinda katiba

4. Katiba huwalazimisha viongozi waliichaguliwa kuwajibika kwa wananchi kwa kuzingatia ilani zao.

5. Mahitaji ya msingi ya binadamu mf maji safi, elimu, afya, uhuru wa kuongea yametekelezwa tangu kupata uhuru

7. Hakuna ubaguzi wa shughuli za maendeleo kwa misingi ya upinzani na chama tawala

8. Hawadeki barabara kwa ajili ya watawala kupita

9.
 
Yaani kukaa na kufikiri kote hapo ndipo umefika mwisho wako? PUMBAFU

Ulaya viongozi wanawajibika kwa kujiuzuru pale inapotokea sitofahamu ktk wizara zao, vipi hapa tz??

Ulaya viongozi hawaingilii mahakama na kuwapa miongozo jinsi ya kuhukumu
KWA KIFUPI USIJARIBU KULINGANISHA WATU WALIOSTAARABIKA NA WATU WA OVYO
 

Mbona marekani mikutano ya siasa kila siku. Au humuoni Trump ameanza kampeni.
 
Acha bangi, Trump kashaanza kampeni za urais 2024 na mikutano anafanya. Unapata wapi taarifa zako, TBC?

Nimeshangaa hata Mimi. Mbona kipindi Trump ni Rais siasa zilipigwa mpaka kidogo atolewe madarakani.
 

Unamuongelea Huyo ndugai aliyepewa kazi ya kuwashughulikia wapinzani Bungeni?. Ndugai ana msimamo gani mbona alianza kulia asamehewe na bado akatimuliwa. Tafuta mifano yenye maana.
 
Wrooooong...ipo kila siku, Trump ana mikutano kila siku kuanzia siku aliposhindwa uraisi, and in average kampeni za uraisi wa US zinachukua miaka 2 kabla ya uchaguzi, unafanya mkutano unapojisikia na hakuna kuomba vibali kutoka polisi CCM, hakuna watu wapumbavu kama CCM
 

Punguza uongo duniani kote wapi?. Kama mnataka mikutano ya siasa iswepo, yafutayo yafanyike.

1. Kuwepo na sera maalum ya taifa ya uchumi na mambo ya nje. Ambapo kila Rais anaye ingia lazima aitekeleze haijalishi chama anatokea chama gani.

2. Matokeo ya urais yapingwe mahakamani. Wanaodai wameibiwa kura watoe vielelezo vyao hadharani. Na maamuzi ya mahakama yawe ya mwisho.

3. Tume huru ya uchaguzi iwepo isiyo egemea upande wowote. Iwe na ofisi kila Jimbo.

4. Vyombo vya dola visijiingize kwenye siasa. Vibaki neutral. Polisi na Jeshi wasitumike kulinda chama fulani madarakani. Kama ilivyotokea Zanzibar 2015 na 2020.

Pia Punguza uongo sio dunia nzima ni baadhi ya nchi na siyo ulizo zitaja.
 
We ni mbwa , halafu utakuta majitu maseng€ kama wewe ndio mnalalamika maisha magumu , fool
 
Uko sahihi. Haya mapinzani uchwara yanalenga fujo tu

Uchwara ni CCM . Mnazuia upinzani kufanya siasa lakini ukifika uchaguzi mnawakata na kufanya ujinga wa kila aina. Kama hamtaki vyama vingi turudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
Nilijuwa jina la Dr Akili unaakili kumbe jina tu.Kasome katiba yetu halafu urudi hapa.
 
Kwa mujibu wa katiba yetu kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ni kukiuka katiba, afanyaye hivyo anatakiwa kuwajibishwa.
 
Ukivuta bangi uache kusema uongo. Trump kajiandikisha kugombea leo unajua maana yake? Akimaliza hapo anaanza mikutano miaka miwili akikutana na watu mbalimbali kuwaelezea sera zake. Two years in campaign from the day he indicated he was gonna run. Germany na uk wana town hall meeting between members of parliament and his constituency. Do you have any idea what they talk about? Also theirs is the parliamentary system ours is presidential system meaning the candidate needs to canvass for his voters from times to time so they wont forget him or her
 
Mbona marekani mikutano ya siasa kila siku. Au humuoni Trump ameanza kampeni.
Hapo ndipo unapojionesha ulivyo hujui kinachoendelea duniani, mikutano uliyoiona ya Trump ni ya uchaguzi katikati ya muhula yaani nusu ya awamu ya urais.
 
Uhuru wakujieleza, uwajibikaji wa viongozi, katiba imaram, ukweli na uwazi, huduma Bora za jamii!! Vyote hivi na vingine vingi wanavyo kwa 99%, na haya yote wanayapata kutokana mikutano na maandamano waliyoifanya miaka ya nyuma. Ni mpumbavu na mjinga tu ndiye anayewaza asione umuhimu wa mikutano ya kisiasa hasa kwa Taifa la watu maskini na wajinga wengi kama Tz, angalia Tz ya 2005-2014 watu waliamka kutoka usingizini baada ya vyama vya siasa kuanza mikutano na kutoa elimu juu ya Nchi yao. Kila mtanzania akaanza kufuatilia Mambo ya Nchi yake kupitia bunge na mikutano ya kisiasa.
 
CCM mnaposifia wazungu, mlinganishe kila tu muhimu chao mkifanye na nyie,
Huko ulaya hawaobi kura kama nyie
Anzieni hapo kwanza
 
Wanakulana Tigo why not us?? It goes without saying. Pambafu kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…