Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!

Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga

Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!

Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!

Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!

Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!

Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"

Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?

Youssef Ammar
images (2).jpeg

Youssef Ammar
GPyf_WvWkAEVdLj-635x357.jpg

Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipo uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!

Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine, viongozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!

Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!

Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)

Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!

Taibi Lagrouni

images.jpeg

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni ñarudi kutega tena!
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    28.5 KB · Views: 7
Kiukwel Gamondi must go maana mbinu zake zishachuja na Hana mbadala wapinzani washamsoma muda Mrefu....

Matokeo yake ya mbinu zake kuwa hafifu tunauwona sasa ushindi mwembamba katika mechi za Yanga hadi kufikia sasa anapoteza mechi mbili mfululizo tena hii Tabora Kwa idadi kubwa ya magoli
 
Naunga mstari hapo nyuma.

Gamondi anatafuta sababu ya kutimuliwa Yanga, hiki kinachoendelea pale jangwani toka wachezaji watoke national team zao niliona tatizo.

Jana na majuzi ndiyo uhalisia kwamba Gamondi anatafuta mlango wa kutokea.

Bladfkn kabisa, team kuna wachezaji zaidi ya 20 why kila siku hao hao tu?.

Viongozi Yanga pamoja na kwamba hamumpangii kocha ila ingilieni hilo jambo, kwani hao wachezaji wengine wamesajiliwa kuja kukaa benchi msimu mzima?
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!

Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga

Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!

Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!

Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!

Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!

Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"

Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?

Youssef Ammar
View attachment 3146842
Youssef Ammar
View attachment 3146844

Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipoti uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!

Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine na viungozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji Hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!

Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!

Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)

Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!

Taibi Lagrouni

View attachment 3146851

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni ñarudi kutega tena!
Mkuu UMUGHAKA umedadavua vizuri sana.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni ñarudi kutega tena!
Naongea kwa msisitizo hakuna kitu hata kimoja ambacho umekosea mkuu.
UMEONGEA UKWELI 10000%.
Katika yoooteee suala la kumfukuzisha Yousef Ammar nimemtoa sana akili Gamondi na nimemshusha vyeo.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Taibi Lagrouni

View attachment 3146851

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni ñarudi kutega tena!
Kama kuna mtu anataka kukushambulia, basi akushambulie kwa hoja! Na siyo kwa matusi kama wale mashabiki wa timu nyingune.

Umeongea kitu cha kweli. Na hata mimi baada ya kichapo tu cha jana, nilishauri jambo hili! Viongozi wa Yanga wafanye tu maamuzi magumu ya kumbadilisha kocha na benchi lake l ufundi, ili kuikoa timu. Wasupofanya hivyo, kuna uwezekano timu ikapoteza muelekeo. Dalili zilianza mapema! Kwa hiyo hakuna namna nyingine.

Na katika hili, siwezi kusema kocha Gamondi ni mbaya! La hasha!! Ila tukubali tu ya kuwa kwa sasa ameishiwa mbinu mbadala za kuipekeka timu mbele. Hivyo kuna umuhimu wa kupatikana mbadala wake haraka iwezekanavyo.
 
Kama kuna mtu anataka kukushambulia, basi akushambulie kwa hoja! Na siyo kwa matusi kama wale mashabiki wa timu nyungune.

Ulicho ongea kinaweza kikawa na ukweli. Hata mimi baada ya kivhapo cha jana, nilishauri jambo hili! Viongozi wa Yanga wafanye tu maamuzi magumu ya kumbadilisha kocha na benchi lake l ufundi, ili kuikoa timu. Wasupofanya hivyo, kuna uwezekano timu ikapoteza muelekeo. Dalili zilianza mapema! Kw hiyo hakuna namna.

Na katika hili, siwezi kusema kocha Gamondi ni mbaya! La hasha!! Ila tukubali tu ya kuwa kwa sasa ameishiwa mbinu mbadala za kuipekeka timu mbele. Hivyo kuna umuhimu wa kupatikana mbadala wake haraka iwezekanavyo.
Kabisa mkuu,Gamondi alipotufikisha inatosha Sasa!

Sitegemei usiku wa Leo Gamondi kuwepo Ardhi ya Tanzania!

Viongozi wakiendelea kushupaza shingo,tutakuwa na wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule tangu klabu hii ianzishwe!
 
Back
Top Bottom