Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 387
- 421
Kwa mtindo huu timu za Tz zitabadili sana makocha. Kufungwa ni sehemu ya mchezo hata timu ifungwe mara tatu. Tujifunze kwa nchi zilizoendeleaKiukwel Gamondi must go maana mbinu zake zishachuja na Hana mbadala wapinzani washamsoma muda Mrefu....
Matokeo yake ya mbinu zake kuwa hafifu tunauwona sasa ushindi mwembamba katika mechi za Yanga hadi kufikia sasa anapoteza mechi mbili mfululizo tena hii Tabora Kwa idadi kubwa ya magoli