Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

Tuachieni yanga yetu, ni mapema sana kuanza kumnanga kocha.

Yanga bingwa
Upo sahih mkuu, Gamondi huyu huyu alotupa raha kupita kiasi msimu jana, leo kaishiwa mbinu?

Kwa hiyo pep, arteta na don carlo wanavyopoteza michezo kwa sasa wameishiwa mbinu.

Dah! Mashabiki wa kibongo wamejawa mihemko sana.
 
Hatuna subira tunataka matokeo mazuri tu bila kujali mchakato wa kuyapata.

Wanajua fika kilichoigharimu timu ni kipi lakini wanakaza kichwa kumlaumu gamondi, au gamondi ndio alimwambia bacca atafute redcard?
 
Back
Top Bottom